Njoo uchague yako

Njoo uchague yako

Ni nzuri sana hiyo perfume mkuu, embu nunua jaribu kuitumia ikiisha unipatie kichupa chake nikiweke ndani ya mkoba wangu [emoji6]
Duh!. Inatengenezewa wapi Mkuu hiyo PAMPULA Perfume?

Nimeenda mpaka Google kuuliza lakini nimeambulia hewa.

Nina perfume yangu, lakini natamani niinunue hiyo PAMPULA nione maajabu yake ya kutambaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja MBITIYAZA akupe maelekezo mazuri, mimi sio mwenyeji sana maeneo hayo zinapopatikana pampula perfume, mbiti pleeese tunaomba msaada wako tafadhali [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Wewe si unayo? Ulinunua wapi please?

Nitaitafuta kwa gharama yeyote. Mtambao wake ni wa kivipi? Ulisema inatambaa kama mtoto mdogo, Je unauona kabisa unavyotambaa?

Hii dunia ni ya maajabu.

Ngoja nigoogle, THE WALKING PERFUME.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom