ALL IN ONE
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 263
- 176
- Thread starter
- #21
Kweli kabisa nduguHahahaha hiyo biashara nilishaifanya kama miaka 3 hivi, mbona biashara ipo pouwa sana na inaleta maendeleo ya haraka. Sema niliacha kwa sababu za mazingira yaliyokuwa na stoo zangu yalibadilishwa matumuzi.