Kwa anae jua biashara hizi mbili biashara ya mkaa kuleta Dar na mbao kuleta Dar

luje

Member
Mar 16, 2023
21
8
Poleni na majukumu wadau najua humu kuna wazoefu wengi wa kudumu katika biashara hizi mbili naomba uzoefu wenu katika biashara ya mbao kuja kuuza Dar yani nipate sehemu niwe nauza taratibu au biashara ya mkaa nijumue mkoa nilete Dar niuze taratibu.

Naomba ushauri wenu mtaji wangu ni 15m, na kama mbao naweza kuandaa mwenyewe kuanzia kununua msitu hadi kuvuna lkn mkaa kujumua kwa watu naomba ushauri wenu na MUNGU AWABARIKI KWA MAONI YENU
 
HIYO ya mkaa naona Kuna mtu analetaga fuso Zima kutoka shinyanga, Anauza gunia moja laki na 20,100k,90kKwa Sasa.Anauza jumla na rejareja.kwa siku gunia 5 anamaliza.
Ina faida ila TU uwe na kibali.
 
Back
Top Bottom