Njoo tutabiri mambo/matukio yatakayotukia mwaka huu 2021

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,289
Habari wakuu..huu uzi ni maalum kwa ajili ya kutabiri/kubashiri mambo au matukio yatakayotokea nchini na duniani kwa ujumla..ni kwa ajili ya burudani tu na kupima nguvu/bahati/kipawa ulichonacho juu ya utabiri..

Unaweza kutabiri chochote kile..kitakachotukia kabla ya desemba 2021.iwe siasa mchezo,elimu,watu,wanyama n.k

Karibuni

tukio likitokea kama lilitabiliwa humu basi utakuwa umetisha na utakuwa ni mmoja kati ya watu wenye vipawa duniani

Mi natabiri mwaka huu kuna timu moja kubwa sana hapa Tanzania itapata pigo kubwa kwa kufungwa 3-0 na timu ndogo ambayo wengi hawakudhania
 
Kuunga mkono JUHUDI kwa Baadhi ya members waliokuwa Kamati Kuu Chadema!!!

Kukata Kamba kwa RC na DC maarufu.

Kuna Waziri naye Atakata Kamba.
Kwenye kukata kamba hapo...KUNA MSANII MMOJA MKUBWA/MAARUFU WA KIKE KATIKA TASNIA YA MUZIKI ..natabiri tutamkosa dunian
 
Habari wakuu..huu uzi ni maalum kwa ajili ya kutabiri/kubashiri mambo au matukio yatakayotokea nchini na duniani kwa ujumla..ni kwa ajili ya burudani tu na kupima nguvu/bahati/kipawa ulichonacho juu ya utabiri..

Unaweza kutabiri chochote kile..kitakachotukia kabla ya desemba 2021.iwe siasa mchezo,elimu,watu,wanyama n.k

Karibuni

tukio likitokea kama lilitabiliwa humu basi utakuwa umetisha na utakuwa ni mmoja kati ya watu wenye vipawa duniani

Mi natabiri mwaka huu kuna timu moja kubwa sana hapa Tanzania itapata pigo kubwa kwa kufungwa 3-0 na timu ndogo ambayo wengi hawakudhania
Simba kubeba kombe la clab bingwa Africa
 
Its A YEAR OF GREATNESS
 
Back
Top Bottom