Njoo tutabiri mambo/matukio yatakayotukia mwaka huu 2021

maharage ya ukweni

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
1,103
2,000
Habari wakuu..huu uzi ni maalum kwa ajili ya kutabiri/kubashiri mambo au matukio yatakayotokea nchini na duniani kwa ujumla..ni kwa ajili ya burudani tu na kupima nguvu/bahati/kipawa ulichonacho juu ya utabiri..

Unaweza kutabiri chochote kile..kitakachotukia kabla ya desemba 2021.iwe siasa mchezo,elimu,watu,wanyama n.k

Karibuni

tukio likitokea kama lilitabiliwa humu basi utakuwa umetisha na utakuwa ni mmoja kati ya watu wenye vipawa duniani


Mi natabiri mwaka huu kuna timu moja kubwa sana hapa Tanzania itapata pigo kubwa kwa kufungwa 3-0 na timu ndogo ambayo wengi hawakudhania
Mimi nilitabiri kifo cha maguri au kushindwa kuendelea na Urais mwaka 2016 nakuomba unisaidie kuniombea kwa MODS wanirudishie uzi wangu maana waliufuta.Jina la uzi wangu ni ''NDOTO ZILIZOTIMIA''
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom