nyumbatatu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,076
- 940
Mimi nimekuita huku wewe unajifanya unaijua njia, eti unamfuata, ukikutana stelless huko usitusimulie!
!
hebu ngojea nimfollow huko huko facebook nikajionee mambo zaidi nitoe stelles. Kwa hilo jiko huko nyuma huyu atakuwa ni maid tu
Basi bwashe, tupe mwongozo....Mimi nimekuita huku wewe unajifanya unaijua njia, eti unamfuata, ukikutana stelless huko usitusimulie
Jipe muda kidogo utaikumbuka Tu mkuu!.stillesi inafananaje vile? nimeisahau kidogo
Kweli huo uboola
Ekotitee. . Ekotitee .......Ekotite..
Hahahaha!, sijawahi jua Kama Kuna pozi lenye Hilo jinaEkotitee. . Ekotitee .......Ekotite..
waaaaa
Pozi ka kinyani.
Yap yap!, anajikubali balaa, Na hapo ndipo alipofaulu kututoa stelless!, dunia hii ya leo asipojikubali yeye nani atamkubali?.Kakosa matunzo tu ila anamaanisha anachokiongea nadhani hata kamera aliyotumia kupiga picha ni ya zile simu zilizozimwa na TCRA
Ha! ha! ha! Kanogewa au atakuwa na stellesi kupitiliza sasa anaona bora amfwate huko huko fesibukuMimi nimekuita huku wewe unajifanya unaijua njia, eti unamfuata, ukikutana stelless huko usitusimulie
Kwani hicho chakula pendwa kinaondoa stelless?Kwa huo mjiko huko nyuma na hicho kiti atakuwa ni mpishi wa chakula pendwa cha wanaume wa dasalamu.