Acha chuki za kijinga na utembee kidogo, Watanzania wenzako wamejaa huku Kenya wewe unafikiria kutimua watu.. The world is a global village, wake the *** up and exploit it, dumbass.
Ntakujia PM mkuuTutakusimamia mwanzo mpaka mwisho naushauri wa kitalaam tunatoa ,kama aina ya mbegu,mbolea ,kulima ,kupanda kumwagilia
Anatania huyo mkuu usichulie kaongea serious haa haaMkuu mimi ni mtanzania. Huku Kenya nimekuja kuangalia mazingira ya kibiashara tu
Alafu mkuu huku kenya nimepokelewa vizuri sana na wenyeji. Sasa ukiniambia hivyo nahuzunika sana
Nitakukodishia shamba ,utalima ntakushauri pia ukipenda tunatoa usimamizi wa shamba
Shamba la bibi bhana...acha aje atarazaki...Nchi yetu haturuhusu wakenya kulima[emoji15] [emoji23] [emoji23]
Mmh mbona naona kama imekuwa bit exp mimi nimelima mwaka jana hapo mwasonga kigamboni, heka moja nlitumia kama million 1 tu! Na nikauza after 70 days shamba zima kwa shilling 2.8 mKulima mpaka unavuna unatakiwa kuwa na mil 1.5 kwa heka shamba kukodi ni sh 80,000 tu.maji yapo ya bure
Matikiti unavuna 24000-3000 @sh. 2000 hadi 3000 kwa tikiti kubwa zaidi unaweza uza shamba au ukapeleka mjini unapata zaidi ya sh.5000000 .usihesabu pesa tu kwenye investment hesabu na muda pia ni rasilimali ,tuna fail sana watanzania tunapoangalia pesa nikitu pekee unachoweza kuwekeza ,tunasahau unaweza ukawa na pesa ukikosa muda huwezi wekeza so gharama katika mradi wowote usiangalie pesa tu ,muda pia nirasilimali kubwa sanaKitu ambacho huwa nashindwa kuelewa ni pale mtu anapotafuta 80,000/= kwa siku 60 wakati angeweza kutengeneza 5,000,000/= kama faida ndani ya siku hizo. Je ni ulaghai? ama nini? Tusaidiane tutoke kimaisha kwa njia sahihi kwa kutoa taarifa sahihi tafadhali!
Issue kubwa nadhani ni mtunzaji wa shamba!Inaekea matunzo hayakua mazuri ,matikiti yalikua madogo
i feel sory for you, umeenda kenya basi unajiona umetembea duniani, i have been in more that 15 countries, sijui una nini cha kunifundisha, i know what am talking about, damn bitch
You shouldn't feel sorry for me hun, I dont need it. for a person alleging to have 15 stamps on her passport you surely are close minded. this is an awesome topic with very beneficial inputs from members here, sad that all you could bring to the table is hate and negativity, hating on your neighbors for no apparent reason. You need to style up, and I insist you get out of manzese and exploit the world around you, it'll change your mentality.
Tena Sana wakati ndo huu jitume kakaAisee hii fursa nzuri sana