Njoo tulime tikiti ujikomboe

laurentie

Senior Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
101
Reaction score
79
Karibu tulime tikiti maji ujikimboe tengeneza hadi mil 5 kwa siku 60 tu kamafaida yakuwekeza kwenye kilimo,karibu vikindu.mawasiliano 0628910680 kesho kuanzia SAA moja ntakua shamba kugawa mashamba kwa waliolipia anaetaka kuja kulipia karibu sana
 
Kuna maji hapo shambani kwako na kma ndiyo chanzo chake ni nini?
 
Kuna maji hapo shambani kwako na kma ndiyo chanzo chake ni nini?
Maji yapo shamba ,chanzo ni kwamba kuna mkondo wa maji ukichimba futi 3 unapata maji safi hapo hapo utapo kodi
 
Nani atahusika na usimamizi kama aliyekodi hawez pata mda wa kusimamia??tufahamisheni vizuri wakuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…