Hii ya watu kuzuka PM na kuomba kukopeshwa hela za ada... nimeshazizoea sana.Nakumbuka mwaka 2008 kuna jamaa mmoja hivi alikuwa maarufu sana humu na tulikuwa tumezoeana kiasi [kiJF].
Siku moja akaomba nimkopeshe dola 1,200 ili aweze kulipa ada yake ya shule huko USA.
Ilibidi nicheke kwanza kwa kuwa hata na huo uthubutu wa kuomba nimkopeshe hizo hela.
Nadhani alijutia sana hicho kitendo na muda si mrefu akaacha kabisa kuchangia.
Ila nahisi bado yupo humu lakini kwa jina jingine na mara nyingi huwa anajitokeza kwenye nyuzi akiona kuna watu wananiponda. Huwa anaunga tela na kuanza kuniponda sana. Bado ana hasira na mimi😀.
Hahaha tatizo watu wakijua uko abrodi wanajua zimejaaa, hawaelewi kuwa majuu laifu liko juu sana
Kelvin isaya hyuhyu wakuuza vyombo toka ulaya keshawaliza watu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mkuu nifundishe kubet maana naona ni mchezo kipenzi cha wengi[emoji85] [emoji85] [emoji85]Mie nikiwa nina shida na hela huwa nakwenda ku-bet yaani naweka buku natoka na na 500k (huwa sikosi aisee)
Naona mods wamefuta nyuzi zote zinazomtuhumu tapeli Raimundo,vizuri.
Sasa endapo uzi wowote wa kumsafisha huyo bwana ukianzishwa na kuachwa hewani JF wajiandae kujibu hoja nzito,na haitokuwa tena kuhusu Raimundo bali JF yenyewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha mond kumbe assist ndo ilipoibukia lol!!Bibie mm mwenyewe ni Muhanga wa Raimundonization..Yaan hua anakufuata Pm anakuomba umkope 30-45 akisema atarudisha lakini harudishi tena na ukimtafuta hakujibu..Hua anaomba watu wengi kwa wakat mmoja.Mfano trh 25 june katufuata pm mm the bold na Emmyta kwa wakat mmoja ila malaika wa kheri alikua upande wetu..
Sasa wapo kibao wameshalizwa nae toka 2015 .
RRONDO ndio kamuumbua baada ya kutolipwa pesa zake.
ASSIST HAIJAMUACHA MTU SALAMA.
WHY ASSIST?
ASSIST NI NENO HUA ANALITUMIA PM.
Eg.Naomba uni ASSIST 20K nitarudisha baada ya wiki..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi mond nakupa unajua we wangu sema umenitupa cku hzi!!Yap ndio ilipoanzia,wewe hajakuomba Assist?
Gene naomba Assist ya buku kumi basi nitakupa Allah akijalia
-Mond-
hajakuassist wewe?Sijaelewa hapa, naomba uniweke wazi, Raimundo katapeli au katapeliwa?
hujapangiwa nyumba bado?Mkuu Bujibuji mie ndio nimefika muda huu hilo fungu la Assist bado lipo?
hujapangiwa nyumba bado?
[emoji126] [emoji126] [emoji126]Njoo Pm tuchonge na mengine ya Assist tutayajua huko..
Upo sahihi!! Labda anamakubaliano nao ya 10% kwa kila Assist!!Kwa hyo unataka kusema katika ASISST kuna sub-ASSIST inabaki kwa mods au
Kweli Dinia pana MTU mmoja hawez jaa!!Nakumbuka mwaka 2008 kuna jamaa mmoja hivi alikuwa maarufu sana humu na tulikuwa tumezoeana kiasi [kiJF].
Siku moja akaomba nimkopeshe dola 1,200 ili aweze kulipa ada yake ya shule huko USA.
Ilibidi nicheke kwanza kwa kuwa hata na huo uthubutu wa kuomba nimkopeshe hizo hela.
Nadhani alijutia sana hicho kitendo na muda si mrefu akaacha kabisa kuchangia.
Ila nahisi bado yupo humu lakini kwa jina jingine na mara nyingi huwa anajitokeza kwenye nyuzi akiona kuna watu wananiponda. Huwa anaunga tela na kuanza kuniponda sana. Bado ana hasira na mimi😀.
Yaani niliona hizo comments na thread za ku assist lakini sijapata kujua mkasa mzima uko vipihajakuassist wewe?