"Njoo Ghetto"... Imezua balaa

Guuuud he deserve it hajiheshimu..
Baadhi ya wanaume akili mwao wanawaza ngono tuu

Hakuna cha kesi anakutisha tuu

weeel said.kweli He deserve tena more than this.
 
Hahahahaahaha..JF noma sanaaa....jamaa yaonekana baunsa had kakubebelea vzur tu..

Jitahidi kumkwepa,au na we kata RB,si inawezekana

hahah hana ubaunsa wowote yule,ni vile tu kanikuta niko kimbaumbau(hata kilo za mfuko wa cement sina) ndo maana akaweza ninyanyyua.
 
kuwa na negative mindset ni mbaya sana.mkuu mimi huwa gheto za marafiki zangu wa kiume ikibidi naenda na sijawahi kukutana na shida yeyote coz tunaheshimiana.

Sasa ndio ujue marafiki wengine mafisi usipendelee ukitwa tu na wew unajipeleka, nadhani umejifunza hilo
 
ndo walewale.akisikia Ghetto basi anahisi ni mahali pa kungonoka.lini tutaacha kuwaza ngono???.hapa lazima tudeal na mindset za watu maana zikilala zikiamka zinawaza ngono tu.yaani wewe hapa unalalamika mimi kwenda gheto ila ile business ambayo tuliipanga haikuumi.
 
Umpe ajilie,nyie kunywa soda na kuhepa tu

uliangalia t,.v bure
kipupwe bure
kubebwa bure

akaa,umpe tunda naye
 

Nahisi kama kuna kitu unakificha hapa.
 
 
Lol qute ya mwiko nimeipenda. Pole sana
 

hizi akili za kuwaza ngono kila saa ni shida sana.kwenda gheto na umalaya kuna connection gani mkuu???.so tusifanye vitu vya maendeleo kisa tunahofia kwenda Ghetto.Jaribu kuchange your mindset.
 
Hapo hakuna kesi.mbona lulu alienda kwa kanumba akambamiza na sasa yuko nje
so,relax.
 
...wewe kama ungewaza sawasawa hayo uliyotoa hapa yasingekukuta,kama wewe ulikubali kwenda kufanya hiyo biashara huko geto tena kwa huyo jamaa tutaamini vipi kuwa siyo biashara hiyo,sema mkashindwana makubaliano??wakati mwingine fikiria jambo kabla hujakurupuka,wewe umemfuata kwake tena ambapo anaishi na siyo ofisini kwake,kama alikuwa hana ofisi ulikosa mahali palipotulia penye usalama wako mkafanya biashara hiyo hadi wewe kuona mkajifungie ndani kwake ndo salama zaidi..acha kukurupuka dada fikiri kabla yakutenda,usalama wako ni muhimu kuliko pesa..
 
kwa mwanaume tena anaeish getho peke yake unaenda mdada tena peke yako...! Kubakwa is very simple pole but chukua fundisho!
 
Hivi huwa hamjisikii vibaya kumnyima mtu kitu wakati unacho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…