Taarifa za juujuu nlizozipata zinasema shule ya sekondari njombe (Njoss) imeungua moto. Mabweni matatu inasemekana yameungua pamoja na mali za wanafunzi zilizokuwemo na wanafunzi kujeruhiwa. Mlioko Njombe mji hapo tupeni kwa kirefu zaidi. Poleni majeruhi wote. Chanzo: ndugu yangu anayesoma hapo