Tiba asiliAlikuwa mganga mkuu wa hospitali gani
Tiba asiliAlikuwa mganga mkuu wa hospitali gani
Sana.mganga kuwa na bilioni moja ni kitu cha kawaida tuKaburi la bilioni moja? R.I.P Mwandulami, Kumbe uganga unalipa eeh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna yule mzee wa Ruvuma "aliuwawa" na Mugalu kukosa penalty vs Prisons mwingine alikufa Mwanza ile penalty ya Sarpong vs Simba.Hii timu ya Simba imesababisha vifo vingi sana kwa mashabiki wake, tofauti kabisa na Wananchi Yanga! Mifano ni mingi, muda ni mchache!
Sijui sababu ni nini!!!
Hakika Mwenyezi Mungu aendelee kutujalia mashabiki wa Yanga hali uvumilivu! Wenzetu wanapukutika kweli kweli kwa sababu ya timu yao!Kuna yule mzee wa Ruvuma "aliuwawa" na Mugalu kukosa penalty vs Prisons mwingine alikufa Mwanza ile penalty ya Darling vs Simba.
Mashabiki wa Yanga wamezoea shida kama wa Arsenal.
duuuu hatari sànaaMiongoni mwa mambo yaliyoshangaza ni
- TRA walikwenda kumkagua wakitaka kodi, akawakaribisha kwenye viti na kuwapa nyaraka zake wazipitie, muda mfupi wote wakapitiwa usingizi mzito wakaja kuzinduka jioni, hawakutaka kumsikia tena wakaondoka.
- Alifuga nyuki chini ya Nissan yake kama walinzi.
- Inasadikika alipata kutumia nguvu ya jadi kumfanya mbaya kibaka pale Mnazimmoja Dar baada ya kumwibia mizigo yake
Ndauli bee, makasi...daktari katutoka aiseeaaaa Prince Kunta wa hukaye upo bwashee?
Tumepoteza Daktari wetu bwana!
Njombe na viunga vyake imezizima Kwa kifo Cha ndugu yetu!
Huyu alikuwa anapatikana Makete kuleMwakipande huyo
Huyu ni mganga mkuu wa sibitali sio hospitaliAlikuwa mganga mkuu wa hospitali gani
Ni mnyakyusa ? Naona ana ngeli ta wanyaki akina mwakyusa,mwalami,mwasumbi nkView attachment 1840225View attachment 1840223
Dokta Anthony Mwandulami mganga maarufu kutoka Kijiji Cha Itunduma kitongoji Cha wangama Kata ya Mtwango mkoani Njombe Afariki Dunia usiku wa Jana jijini Dar es Salaam.
Mganga huyo aliyejipatia umaarufu nchini baada ya kujijengea kaburi lake la mamilion ya fedha ambalo alisema atazikwa yeye na wakeze watatu.
Dokta Mwandulami alichukua uamuzi huo wa kujiandalia makazi ya milele kitendo kilichowashangaza wananchi wengi hapa nchini.
Taarifa zaidi nitazileta Kwa update!
Zaidi, soma: Njombe: Mganga wa kienyeji Mwandulami ajijengea kaburi la mamilioni, anamiliki magari ya kifahari
Nofu Hela mgoyo mnyalukolo VA huwangama ahelie hwa Nguruvi golo nye visila mulikabuli le agimile ye mwene!Ndauli bee, makasi...daktari katutoka aisee
ni mbena mkuu yeye ubini wake og ni Mwinami Hilo Mwandulami nahisi ni la ukooNi mnyakyusa ? Naona ana ngeli ta wanyaki akina mwakyusa,mwalami,mwasumbi nk
mukuu Bujibuji hacha kunifunja mbafu sangu mweeewHuyu ni mganga mkuu wa sibitali sio hospitali
Hapana siyoNi mnyakyusa ? Naona ana ngeli ta wanyaki akina mwakyusa,mwalami,mwasumbi nk
Nye!nye!nye! Mahodzo keneNofu Hela mgoyo mnyalukolo VA huwangama ahelie hwa Nguruvi golo nye visila mulikabuli le agimile ye mwene!
Huyo alikuwa mganga wa kienyeji katika kijiji cha mtwango,
alishajijengea kaburi la bilioni
machache kuhusu yeye