Njombe: Mganga wa kienyeji Mwandulami ajijengea kaburi la mamilioni, anamiliki magari ya kifahari

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,076
4,113
Kua m-yaone wanaJF,

Huko mkoa wa Njombe kuna mtaalam wa mitishamba anavunja rekodi kwa kujijengea kaburi pamoja na wakeze watatu. Kaburi hilo la aina yake ni nyumba ya ghorofa itakayokuwa ya kisasa. Amesema anajenga ili asisahaulike na vizazi vyake.

Pia anamiliki kituo kikubwa cha afya kwa ajili ya kuhudumia wateja wake. Kituo hicho ni cha kuvutia kuliko.

Pia anamiliki nyumba kadhaa hapo hapo na usafiri aiana ya Discovery 4 kwa ajili ya kutanulia mjini na Dodge Ram la 150 milioni kwa ajili ya kuchanja mbuga kusaka madawa pori kwa pori.

Tusichoshane, angalieni wenyewe video...

Zaidi, soma

 
Pyramid, mausoleum n.k kama kumbukumbu.

Jamaa amefanya vizuri kuhifadhi historia ya uganga wa kienyeji ktk ukoo wao. .Mganga maarufu wa tiba za asili maarufu kama Dr. Francis Mwandulame .

Huu uwekezaji wake ktk matibabu ni wa kisasa hasa majengo ya kutolea huduma na kusindika dawa.

Makazi yake ya kuishi ni dizaini ya Ikulu fulani ya maraisi.
 
Back
Top Bottom