TANZIA Njombe: Anthony Mwandulami Afariki Dunia. Alijijengea kaburi la mamilioni ya shilingi

View attachment 1840225View attachment 1840223

Dokta Anthony Mwandulami mganga maarufu kutoka Kijiji Cha Itunduma kitongoji Cha wangama Kata ya Mtwango mkoani Njombe Afariki Dunia usiku wa Jana jijini Dar es Salaam.

Mganga huyo aliyejipatia umaarufu nchini baada ya kujijengea kaburi lake la mamilion ya fedha ambalo alisema atazikwa yeye na wakeze watatu.

Dokta Mwandulami alichukua uamuzi huo wa kujiandalia makazi ya milele kitendo kilichowashangaza wananchi wengi hapa nchini.

Taarifa zaidi nitazileta Kwa update!

Zaidi, soma: Njombe: Mganga wa kienyeji Mwandulami ajijengea kaburi la mamilioni, anamiliki magari ya kifahari
alimpokea YESU hatua zake za mwisho?
Wale matajiri wa KI-KINGA watapuputika hapo kariakoo.
 
alimpokea YESU hatua zake za mwisho?
Wale matajiri wa KI-KINGA watapuputika hapo kariakoo.
Ampokee Yesu aliekuja na ndege toka Bethelehem ya uyahudi wakati yeye ni Mbena pure aliyekua akiabudu miungu ya Babu zake?

Sometimes muwe mnaheshimu imani za mababu zenu ndugu zanguni
Mnalowea middle east kwenye miungu ya wayahudi halafu mnajiona wajanja wakati mnafake tu!
 
Ampokee Yesu aliekuja na ndege toka Bethelehem ya uyahudi wakati yeye ni Mbena pure aliyekua akiabudu miungu ya Babu zake?

Sometimes muwe mnaheshimu imani za mababu zenu ndugu zanguni
Mnalowea middle east kwenye miungu ya wayahudi halafu mnajiona wajanja wakati mnafake tu!
Hata wayahudi wanatushangaa maana na wao hawatambui tunacho wanasibisha nacho
 
haaahaaahaaa nimekumbuka nchi zilizokua muungano wa kisoviet zilipanga vita Sasa nchi mojawapo miaka ya nyuma aliwahi mtwanga mwenzie na kunyang'anya eneo lake
Sasa juzi juzi wamejipanga wazichape tena yule aliepigwa kipindi kile akaamua atumie tech ya drone tu yule mbabe wa mwanzo akaandaa mavifaru,magari na infantry solder's wakati anataka across border la mwenzake akatunguliwa na ma drone ya kufa mtu Akala nduki hakujua
Kumbe siku hizi watu wanapigana vita huko wamekaa kwenye kiti Cha kuzunguka na air conditioner saaafi anacheza na keyboard za laptop tu kuendesha mitambo ya drone kushambulia adui popote!
😅😂🤣
 
Kwa jinsi hilo kaburi lilipangwa kujengwa na hatua iliyofikiwa mpaka marehemu anafariki, inaonekana bado sana kukamilika, ninahisi halitakamilika. Ni gharama kubwa zisizo na msingi, nadhani wosia wake utapuuzwa tu.
 
alimpokea YESU hatua zake za mwisho?
Wale matajiri wa KI-KINGA watapuputika hapo kariakoo.
Unamawazo mgando sana,nani alikwambia mwandulami aliwapa utajiri hao wakinga? Utajiri wa wakinga umepatikana mbeya,mtwara hasa kwenye korosho,makambako,Njombe,Morogoro,Ifakara,Tunduma nk..
 
Sasa si bora ya huyu, kuna mpuuzi mmoja alikuwa akilindwa na wanyarwanda eti hawaamini waTz wenzie, msafara wake ulikuwa na helikopta juu, walinzi wenye siraha nzito, magari ya kudetect Mabomu na alipokuwa akiebda mahali alikuwa anawatuma mashushushu mwezi kabla. Sema Mungu ni funding sana!
Plus communication jammer
 
Back
Top Bottom