Njiani kuelekea theatre: naomba sala zenu...

Njiani kuelekea theatre: naomba sala zenu...

hongera Mkuu kwa uponyaji uliopata. Mtukuze Mungu kwa hilo. Ameni
 
[TABLE="width: 678"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 111, bgcolor: transparent"]1 Wathesalonike[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]5[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]18[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
hongera Mkuu kwa uponyaji uliopata. Mtukuze Mungu kwa hilo. Ameni

[TABLE="width: 678"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 111, bgcolor: transparent"]1 Wathesalonike
[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]5
[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]18
[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Ni kweli kabisa
 
Hakika msiri Kaizer. Yesu ni muweza wa yote. Vipi habari za ziwa nyasa.

Ziwa nyasa mwaJ kwema na sio kwema hawa wenzetu wako hypersensitive na hili ziwa, wamesikia tunaleta meli mpya basi makelele...na siye ndo tupo mguu sawa muda wote....hata sijui wataniruhusu tena lini....
 
Last edited by a moderator:
Ndugu wanaMMU dakika chache zijazo nitatakiwa kufanyiwa operesheni ya kuondoa kidole tumbo (appendix). Japo ni upasuaji mdogo, haya mambo ya general anaesthesia yanatisha kidogo. Naomba sala zenu ili niweze kutoka na kupona salama.
Nawatakia siku njema...

==UPDATE==
Wapendwa nawashukuru sana kwa best wishes na sala zenu. Procedure ilienda vizuri na sasa nimesharejea rum, nikiuguza tu kakidonda. Upendo wa Mungu uwe nanyi nyote...

Pole sana mkuu... Upone haraka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom