Njiani kuelekea theatre: naomba sala zenu...

Njiani kuelekea theatre: naomba sala zenu...

you will be just fine, Mungu ako pamoja na wewe na you will recover quickly.
 
Nimeshindwa kuweka "like" sijui kwa nini
Ila Mkuu Tuko tunakuombea na naamini utatoka salama hapo
Mungu awe nawe
 
Last edited by a moderator:
Pole sana utatoka salama
Nakuona online hope operation ilienda salama. Get wee soon
 
Utandawazi kweli kiboko, mtu yuko kwenye kitorolli kile cha kupelekea wagonjwa theatre, yuko ndani ya shuka tu hajavaa kitu kingine chochote, halafu mwenyewe ana'compose thread ya kutuma JF! kazi sana!
 
Ulinzi wa Mungu na uwe nawe kuanzia sasa na kuendelea
 
Mungu yu pamoja nawe!
Utatoka salama! Usiache kutufahamisha
 
Baba katika jina la Yesu Kristo wa Nazareti nakuja mbele zako nakuomba unyooshe mkono wako umguse ndugu yetu Tuko, anapofanyiwa upasuaji kila kitu kifanyike vizuri na aweze kupona kabisa ni katika jina la Yesu Kristo ninaomba na kushukuru. Amin
 
Pole Tuko.. Ninaamini utatoka salama.. Nilifanyiwa op hiyo ya kuondoa kidole tumbo mwaka 2008 mwezi June.. Actually wenyewe wanasema ni op ndogo ambayo mie nilifanyiwa huku nikiwa macho na kuzungumza mastori kibao na daktari pamoja na msaidizi wake..
 
Last edited by a moderator:
Ndugu wanaMMU dakika chache zijazo nitatakiwa kufanyiwa operesheni ya kuondoa kidole tumbo (appendix). Japo ni upasuaji mdogo, haya mambo ya general anaesthesia yanatisha kidogo. Naomba sala zenu ili niweze kutoka na kupona salama.
Nawatakia siku njema...

Tupo pamoja...Naamini baada ya upasuaji utakuja hapa tena na kutushukuru kwa sala zetu huku ukituambia unaendelea vizuri..
 
Pole mpendwa, Mungu ni mwema utatoka salama
 
Uwe na amani Mungu yu pamoja nawe nakuombea operation hiyo ifanywe na Mungu mwenyewe kwa kutumia mikono ya wataalam na upone mapema kidonda cha op. May the power of the Holy ghost flow over every part of your body. Amen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom