Njiani kuelekea Arusha

Njiani kuelekea Arusha

Kuna ukimwi hapo balaa ,hawa jamaa wa Tours wakishika Dola zao baada kupiga game kuwashangaa Sharubu na wengineo breki ya kwanza Karatu
Mkuu ukimwi upo Tanzania nzima cha muhim asipende utelezi atumie kondom ila karatu raha sana watoto wa kimburu weupeee shepu kama loteeee nazani kwa Tanzania karatu panaongoza kwa wanawake wazuri
 
Hahaha...pandishwa midadi wewe tu ukapandwe.

Karatu kuna toto kweli...hapo ndiyo centre ya serengeti, ngorongoro na vivutio vyote upande wa pili.

Nakumbuka tulikuwa tunapatania Karatu kwamba pana guest house nyingi kuliko nyumba za kuishi. Nazozikumbuka zilizokuwepo Saley's, Miami,...ni wazuri... Inna atakufundisha salamu kidogo wasikuone mgeni.
Nampataje huyo
 
Kama unataka night clubs kwa Arusha

-Club D-moshono sio mbali kutoka Town.
-AQ hapa ni stand tu pale.
-Pale mrina hapajakaa kiaje ila usiku panaamka kinoma. Sema pamejaa mifuko arifuu.
-Tafuta catcher akutembeze Via Via, Picnic, Matako bar... nasahau...Pinpoint.
Pamoja man
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom