Njiani kuelekea Arusha

Njiani kuelekea Arusha

Doto Dotto

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Posts
4,048
Reaction score
3,051
Niko njiani naelekea Arusha natokea Dar, lengo ni kutembea tu ku-refresh kuijua nchi yangu Tz. now nimeichagua Arusha, next time naenda Mbeya

Nitakuwepo Arusha wiki moja tu, so naomba kwa wanaoijua A town vzr wapi nitembelee maeneo gani ya kula bata, club, makumbusho n.k ukiacha mbuga za wanyama

Na unadhani ni wapi? eneo gani? nisipofika hapo basi ziara yangu nitakuwa sijaitendea haki

Karibuni wadau kwa maelekezo
 
Niko njiani naelekea Arusha natokea Dar, lengo ni kutembea tu ku-refresh kuijua nchi yangu Tz. now nimeichagua Arusha, next time naenda Mbeya

Nitakuwepo Arusha wiki moja tu, so naomba kwa wanaoijua A town vzr wapi nitembelee maeneo gani ya kula bata, club, makumbusho n.k ukiacha mbuga za wanyama
Safi sanaa mzee Dotto una mawazo kama yangu, ukiwa na fursa nzuri hakuna Starehe muruaa kama kupiga trip mkoa to mkoa. Safari Njema Mkuu wangu
 
Safi sanaa mzee Dotto una mawazo kama yangu, ukiwa na fursa nzuri hakuna Starehe muruaa kama kupiga trip mkoa to mkoa. Safari Njema Mkuu wangu
Nipe maelekezo sasa
 
Maserani Snake parks (kisongo) nauli toka town had hapo ni 800tu, aina zote za nyoka zipo, pia utapanda ngamia hapo hapo ukipenda, wazungu pia wapo wa kumwaga hapo
 
Maserani Snake parks (kisongo) nauli toka town had hapo ni 800tu, aina zote za nyoka zipo, pia utapanda ngamia hapo hapo ukipenda, wazungu pia wapo wa kumwaga hapo
Mkuu fafanua vzr hapo kwa wazungu Unamaanisha wanauza au?
 
Kesho jion Ukitaka pozi Zuri la jion. Nenda PICNIC wenyewe wanaita stress free zone, utaipenda. Jumapili mchana nenda Morombo kula nyama choma za mbuzi hutoisahau Arusha hakika
 
Tukutane jumapili kwa Morombo, ukiku tana na mdada mwenye afro ndefu kuliko wote jua tu ni mimi, nipate hapo unipe hi
Acha basi!!!skuzote mm najua ww ni me kumbe ni she!?mdada mwenye afro ngoja nitafakari maana weekend nakuaga kwa morombo kwenye nyama choma sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom