puker
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 1,024
- 2,088
Sina uhakika...maana hata Hy michirizi nilio ikuta Ni wekundu tu wa kawaida kwa mtu mweupe hata akijikuna inaweza kutokea...nahisi ile ilikuwa Ni gear ya kutimiza adhma yake
Haya bhanaHaahaa Mkuki kwa nguruwe, nyie wadada mnavotukataaga tukiwatongoza, mnaona raha, acha na nyie mkataliwe ndo muone shughuli yake lhera
Nshakuwa sana bogus ila nowadays ukiniangalia tu hata kama huna lengo naomba namba.Hao sasa mbona wanazunguka sanaa.
Cha kwanza when you see what captivates your interest and makes your heart race.... establish eye contact. Firm eye contact. And not once.
Once ataona ni bahati mbaya macho yalikutana tu. If he looks away and happens to look at you again, look at him straight in the eyes, give a tiny little smile.... blush flutter your eyes and look away.
Aaaaagh kama hajasoma tu mara ya pili huyo ni bogus. Or gay. Msonye and Look elsewhere.
Zingatio: Sasa bwana hakikisha he is looking at you, not looking past you. Aibu sana he waves unadhani he is waving at you ukija kuangalia nyuma there is someone else.😁😁😁😁😁😁😁
Hahahahahah kumbe huku unatumia jina hili?? Mm ndio ID yangu nyingine hiyo..Kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi bandalini nilikuwa nashughulika na chakula nilikuwa kitengo cha upakuaji, sasa kaka fulan hv anafanya kazi hapo bandalini yaan huyo kaka ni mzuri, mrefu tu wakutosha, halafu ana mwili fulani hv sio mwembamba wala mnene yaan mwili fulani wenye mvuto yaan hata wanaume wenzie wanamkubali halafu alikuwa na muonekano fulani hv yaan mpole, mstaarabu na alikuwa mtu poa hana malingo ndio nilizidi kumpenda, yy ni kama staff akija pale kuchukua chakula hana haja yakuletewa huwa anakuja jikoni kuchukua, bhasi wee! Nilikiwa nampendeleaje! Alikuwa mpenzi wa maharage yy hataki mchuzi mtilie tu nyama kavu iwe ya kuku, ng'ombe ama samaki nilikuwa nampendelea sana. Sasa kuna siku mfanyakazi mwenzangu akampimia mm nilikuwa na shughuli fulani hivi sikupata muda wa kumpia yaan nilichelewa kidogo ila nilikuwa nafanya ile shughuli ima nimpimie mwenzangu akaniwahi nilimaindi nikaanza kufoka nani kakutuma umpimie mteja wangu kwani hiki tengo chako, wafanyakazi wenzangu wakaguna wakasema unampenda huna lolote
Sent using Jamii Forums mobile app
SijaelewaHahahahahah kumbe huku unatumia jina hili?? Mm ndio ID yangu nyingine hiyo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa.Nshakuwa sana bogus ila nowadays ukiniangalia tu hata kama huna lengo naomba namba.
Hujaelewa nn hapo.. au nikupm picha yangu ndio ujue kuwa mm ndio nani??
Nakataaa big noManeno yafuatayo hutumiwa na wanawake kutongoza wanaume.
Za kunisusa?
Athante
Niaje bro, nimeona nikupe hai tu.
Mbona jana sijakuna kazini?
LabdaHujaelewa nn hapo.. au nikupm picha yangu ndio ujue kuwa mm ndio nani??
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatama siku zirudi nyumaMimi nakumbuka kuna mtoto mkali sana Beatrice sijui yupo wapi nakumbuka mtoto alikuwa ananionyesha mpk papuchi lakini dar nilikuwa mdogo kipindi kile sema dar ishabaki stori
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa ikiwezekana zirudi tu yule dada sijui yupo wapi nakumbuka nilikuwa form 2 kitambo sana alafu yule dada alikuwa ana umbo moja hatar sana watu walikuwa wanamfatilia sana lakini alinikubali mbishi sema na mimi nilikuwa sijielewi kabisa alikuwa ana tako limebinuka kama bodi ya kirikuu
Duh kumbe kuongea kiswahili sehem nyingine ni fursa eeeNakumbuka nilikuwa nchi flani Ina wanawake makauzu..nilimpata manzi aliyenizoea ghafla. Kisa kuongea kwangu Kiswahili, ikaenda tukajikuta tupo ktk mahusiano..lakini mi binafsi Nilikuwa mguu nje mguu ndani kutokana na nilikuwa na malengo yangu huko ktk nchi yao, sasa nilikuja kushangaa siku moja aliponiambia anampenda brother kisa anaongea kiarabu, nilichoka ikabidi nimuelewe tu hakuna namna nikamwelekeza brother nae akamtafuna siku ile ile..yule demu akaniunganisha kwa sister ake nami nikatafuna siku hiyo..akasema sasa fresh na uhusiano uishe mi naelekea kuolewa na jamaa yangu wa muda mrefu...hivi kaolewa na wako vizuri tu na shemeji yetu.mengine ya huko ndani mi cjui....ila wanawake wanaotoka katika familia za kitajiri wana mapenzi ya ajabu ajabu sana.
Hapa nimetoka kutongozwa DM(Instagram)na msanii sijui ni video vixen huyu
coz simwelewagi!!
Nimemwambia
nijifikirie kwanza




hii inaweza kuwa sawa,sijawah kuwapenda kwa dhati walionitongoza na pia baada ya kuwapenda ilibidi mm ndio nitongoze...Pia Ni ngumu kutongozwa na mwanamke unayempenda. Sijui kwa wengine
Sent using Jamii Forums mobile app