Njia za wanawake kumtongoza mwanaume

Njia za wanawake kumtongoza mwanaume

Mapenzi bwana...

Kumbe sio sisi wanaume tu huvutiwa na wanawake, Bali sometime hata wanawake huvutiwa na wanaume. Ingawa Mara nyingi inakuwa ngumu kusema live.

Hupenda kutongoza kwa HILA/VITIMBI tofauti tofauti.

Wakati nipo maeneo flani. Alikuwepo mwanamke flani hivi makamo yangu. Kumbe yule dada alitokea kunielewa Sana kimapenzi. Sasa alishindwa kuniambia moja kwa moja

Akawa Kila siku asubuhi anakuja na kujifanya simu yake ni mbovu nimrekebishie, Mara analeta simu nimchajie, Mara akiona kimya ataleta simu na vocha nimuungie kifurushi. Mara hivi Mara vile

Duh. Kumbe lengo lake alikuwa anataka namba yangu mda mreefu. Mpaka nakuja kugundua lengo lake keshaumia Sana.

Lakini mwisho wa siku alipata alichokitafuta kwa muda mrefu.

Hebu tupeane uzoefu juu ya hili. Ni mbinu gani wanatumia /mnatumia wanawake unapomzimia mwanaume?

(Matokeo nimepata division 0)

Sent using Jamii Forums mobile app
me acha nipite tu, kumbe hii in mada ya wanawake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi bandalini nilikuwa nashughulika na chakula nilikuwa kitengo cha upakuaji, sasa kaka fulan hv anafanya kazi hapo bandalini yaan huyo kaka ni mzuri, mrefu tu wakutosha, halafu ana mwili fulani hv sio mwembamba wala mnene yaan mwili fulani wenye mvuto yaan hata wanaume wenzie wanamkubali halafu alikuwa na muonekano fulani hv yaan mpole, mstaarabu na alikuwa mtu poa hana malingo ndio nilizidi kumpenda, yy ni kama staff akija pale kuchukua chakula hana haja yakuletewa huwa anakuja jikoni kuchukua, bhasi wee! Nilikiwa nampendeleaje! Alikuwa mpenzi wa maharage yy hataki mchuzi mtilie tu nyama kavu iwe ya kuku, ng'ombe ama samaki nilikuwa nampendelea sana. Sasa kuna siku mfanyakazi mwenzangu akampimia mm nilikuwa na shughuli fulani hivi sikupata muda wa kumpia yaan nilichelewa kidogo ila nilikuwa nafanya ile shughuli ima nimpimie mwenzangu akaniwahi nilimaindi nikaanza kufoka nani kakutuma umpimie mteja wangu kwani hiki tengo chako, wafanyakazi wenzangu wakaguna wakasema unampenda huna lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana unaonekana una aibu sana, mimi nikimpenda mtu na mwambia nipate vidonda vya tumbo, Yaani Nakupenda linishindwe kutamka.
 
[UOTE="mzee wa kasumba, post: 30197390, member: 523175"]Mapenzi bwana...

Kumbe sio sisi wanaume tu huvutiwa na wanawake, Bali sometime hata wanawake huvutiwa na wanaume. Ingawa Mara nyingi inakuwa ngumu kusema live.

Hupenda kutongoza kwa HILA/VITIMBI tofauti tofauti.

Wakati nipo maeneo flani. Alikuwepo mwanamke flani hivi makamo yangu. Kumbe yule dada alitokea kunielewa Sana kimapenzi. Sasa alishindwa kuniambia moja kwa moja

Akawa Kila siku asubuhi anakuja na kujifanya simu yake ni mbovu nimrekebishie, Mara analeta simu nimchajie, Mara akiona kimya ataleta simu na vocha nimuungie kifurushi. Mara hivi Mara vile

Duh. Kumbe lengo lake alikuwa anataka namba yangu mda mreefu. Mpaka nakuja kugundua lengo lake keshaumia Sana.

Lakini mwisho wa siku alipata alichokitafuta kwa muda mrefu.

Hebu tupeane uzoefu juu ya hili. Ni mbinu gani wanatumia /mnatumia wanawake unapomzimia mwanaume?

(Matokeo nimepata division 0)

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
 
Mimi iliwah kunitokea Hy Mara kadhaa...ila kubwa kuliko zote Ni hii, Kuna mmama mmoja hv wa makamo...alikuwa na phamacy yake some where karibu na ninapoishi, akawa kila akikutana na Mimi aniadithia vituko anavyofanyiwa na mumewe...kwamba Ni malaya na hamtoshelez kunako 6*6, nikawa nashangaa inawezekanaje mmama mwenye familia na watoto wakubwa, kuniadithia vitu vya ndani kiasi hch..nikajisemea subir nione..siku moja asubuh, ilikuwa J.mosi ya usafi mwisho wa mwezi, kwa wakaz wa Dar, wanaelewa huo utaratibu. Akaniita nimsaidie kufungua geti mkono unamuuma nikamuuliza umefanyaje... ananiambia Jana usiku mumewake alimshushia kipigo..anaumwa kila mahali, nikahamaki...baada ya kumaliza kufungua ananiambia ingia ndani Kuna kitu nataka nikuoneshe uone jinsi ninavyoteseka, kwa sababu muda wa kufungua saa 4 ulikuwa hujafika...tulifungua geti nusu, mzee Mzima nikazama ndani nikiwa na maswali Kama milioni....Lahaula, bila aibu yule mama ananifunulia uch* wake nione alama za mikanda kwenye mapaja...aisee mwanaume hali ikabadilika hp hp, yule mwanamama bila hiyana akanituku, nilitumia Kinga maana mule ndani zilikuwepo. Siwez sahau iyo siku...tokea hapo nikawa najilia ntakavyo. Ingawaje kwa sasa nishampotezea na pale nilipokuwa nakaa nilihama kitambo. Hawa wanawake hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka nilikuwa nchi flani Ina wanawake makauzu..nilimpata manzi aliyenizoea ghafla. Kisa kuongea kwangu Kiswahili, ikaenda tukajikuta tupo ktk mahusiano..lakini mi binafsi Nilikuwa mguu nje mguu ndani kutokana na nilikuwa na malengo yangu huko ktk nchi yao, sasa nilikuja kushangaa siku moja aliponiambia anampenda brother kisa anaongea kiarabu, nilichoka ikabidi nimuelewe tu hakuna namna nikamwelekeza brother nae akamtafuna siku ile ile..yule demu akaniunganisha kwa sister ake nami nikatafuna siku hiyo..akasema sasa fresh na uhusiano uishe mi naelekea kuolewa na jamaa yangu wa muda mrefu...hivi kaolewa na wako vizuri tu na shemeji yetu.mengine ya huko ndani mi cjui....ila wanawake wanaotoka katika familia za kitajiri wana mapenzi ya ajabu ajabu sana.
Hahaa ... ilikuwa napita kimya kimya lakini nimeshindwa vumilia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi iliwah kunitokea Hy Mara kadhaa...ila kubwa kuliko zote Ni hii, Kuna mmama mmoja hv wa makamo...alikuwa na phamacy yake some where karibu na ninapoishi, akawa kila akikutana na Mimi aniadithia vituko anavyofanyiwa na mumewe...kwamba Ni malaya na hamtoshelez kunako 6*6, nikawa nashangaa inawezekanaje mmama mwenye familia na watoto wakubwa, kuniadithia vitu vya ndani kiasi hch..nikajisemea subir nione..siku moja asubuh, ilikuwa J.mosi ya usafi mwisho wa mwezi, kwa wakaz wa Dar, wanaelewa huo utaratibu. Akaniita nimsaidie kufungua geti mkono unamuuma nikamuuliza umefanyaje... ananiambia Jana usiku mumewake alimshushia kipigo..anaumwa kila mahali, nikahamaki...baada ya kumaliza kufungua ananiambia ingia ndani Kuna kitu nataka nikuoneshe uone jinsi ninavyoteseka, kwa sababu muda wa kufungua saa 4 ulikuwa hujafika...tulifungua geti nusu, mzee Mzima nikazama ndani nikiwa na maswali Kama milioni....Lahaula, bila aibu yule mama ananifunulia uch* wake nione alama za mikanda kwenye mapaja...aisee mwanaume hali ikabadilika hp hp, yule mwanamama bila hiyana akanituku, nilitumia Kinga maana mule ndani zilikuwepo. Siwez sahau iyo siku...tokea hapo nikawa najilia ntakavyo. Ingawaje kwa sasa nishampotezea na pale nilipokuwa nakaa nilihama kitambo. Hawa wanawake hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza sukari ... umesahau kuweka na mchai chai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom