Noel Ngiama Makanda
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 1,782
- 3,111
Mimi kuna mmoja huyo aliniwekaga kwenye radar yake, mwanzo nikawa namkwepa, kuna siku kaniambia ana shida anataka kuongea na mimi kwangu, nikamwambia poa poa karibu.
Kufika hana hata cha shida, na Mimi nilikuwa nimeshatupia vyombo, nikamlamba. Baadae akanielezea mwenyewe how she felt about me. Akawa *** mate tu, baadae nikamkikimbia. Hadi Leo huwa ananitafuta na sina taimu naye.
Sent using Jamii Forums mobile app