mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,963
Mapenzi bwana...
Kumbe sio sisi wanaume tu huvutiwa na wanawake, Bali sometime hata wanawake huvutiwa na wanaume. Ingawa Mara nyingi inakuwa ngumu kusema live.
Hupenda kutongoza kwa HILA/VITIMBI tofauti tofauti.
Wakati nipo maeneo flani. Alikuwepo mwanamke flani hivi makamo yangu. Kumbe yule dada alitokea kunielewa Sana kimapenzi. Sasa alishindwa kuniambia moja kwa moja
Akawa Kila siku asubuhi anakuja na kujifanya simu yake ni mbovu nimrekebishie, Mara analeta simu nimchajie, Mara akiona kimya ataleta simu na vocha nimuungie kifurushi. Mara hivi Mara vile
Duh. Kumbe lengo lake alikuwa anataka namba yangu muda mreefu. Mpaka nakuja kugundua lengo lake keshaumia Sana.
Lakini mwisho wa siku alipata alichokitafuta kwa muda mrefu.
Hebu tupeane uzoefu juu ya hili. Ni mbinu gani wanatumia /mnatumia wanawake unapomzimia mwanaume?
(Matokeo nimepata division 0)
Sent using Jamii Forums mobile app