Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,832
- 15,032
We bwana ako ukisikia anachepuka unareact vipi??Apo ndo uwaga mnanichekesha kabsa wanaume kwan ukigongewa kinapungua nini?unakuta tu vile vile jaman,kweli wanaume ni selfish in nature
We bwana ako ukisikia anachepuka unareact vipi??Apo ndo uwaga mnanichekesha kabsa wanaume kwan ukigongewa kinapungua nini?unakuta tu vile vile jaman,kweli wanaume ni selfish in nature
Duuh..Basi akizaliwa ntampeleka akelelewe na Dada yake @Heaven Sent...Hilo pepo la pesa silitaki tena kwenye familia
We bwana ako ukisikia anachepuka unareact vipi??
Mlete tu daddy ntamlea mwanangu, ooh sorry mdogo wangu kwa maadili yote, kama niliyonayo dada ake[emoji85] [emoji85]Duuh..Basi akizaliwa ntampeleka akelelewe na Dada yake @Heaven Sent...Hilo pepo la pesa silitaki tena kwenye familia
Maadamu atarudi nyumbani aendelee tu kwakweli maana kuna mambo mengine ni kijitafutia stress tu kwakwelWe bwana ako ukisikia anachepuka unareact vipi??
Teh teh.Nimeuliza tu...Na we jibu basiMmmh! Huu mfano unapenda kweli mpenzi.
Hahaaaaa ndivyo ilivyo siku hizi hata mbinu za kutongoza zinapoteaMara ya mwisho mimi nilitongoza 2003... Kuanzia hapo uwa najikuta tu niko na binti kama tulivyozaliwa bila hata kujua imetokeaje.
Teh teh..Safi sana..Huyu mama ake nina wasiwasi naeMlete tu daddy ntamlea mwanangu, ooh sorry mdogo wangu kwa maadili yote, kama niliyonayo dada ake[emoji85] [emoji85]
Mmh anawaza tu vikoba vyake muda wote tehTeh teh..Safi sana..Huyu mama ake nina wasiwasi nae
We mke mzuri sana..Mme wako inabidi ajivunie kuwa na wwMaadamu atarudi nyumbani aendelee tu kwakweli maana kuna mambo mengine ni kijitafutia stress tu kwakwel
Teh teh.Nimeuliza tu...Na we jibu basi
Teh teh..Safi sana..Huyu mama ake nina wasiwasi nae
Ungezaliwa na huyu sijui ungekuwaje..Mana hii tabia yake upo kwenye DNAMmh anawaza tu vikoba vyake muda wote teh
Wasiwasi ulitakiwa uwepo kabla ya mimba, ila now ni kazi bure, nijikute tu mwanangu akilelewa na dta wako, atakuwa na mdomo kama chuchunge!
Mmh Mmh ningekuwa na akili kama zake pia, za darasani tu hahahhaUngezaliwa na huyu sijui ungekuwaje..Mana hii tabia yake upo kwenye DNA
Kweli...??..Kama ndo hivyo mbona ntanenepaMie sina hiyana, kwani unakiacha huko huko? Ilimradi hela home ipo ndoho tabu.
Ungezaliwa na huyu sijui ungekuwaje..Mana hii tabia yake upo kwenye DNA
Hahahaha ushindwee, binti mtulivu kama mimi teinaa
Mmh Mmh ningekuwa na akili kama zake pia, za darasani tu hahahha
Wewe Kanunue masufuriaHii familia kwa majungu hamjambo.
Kweli...??..Kama ndo hivyo mbona ntanenepa
Hahahaa!!..Acha kumsingizia Douta..hana tabia hiyoWasiwasi ulitakiwa uwepo kabla ya mimba, ila now ni kazi bure, nijikute tu mwanangu akilelewa na dta wako, atakuwa na mdomo kama chuchunge!
Hahahaa!!..Acha kumsingizia Douta..hana tabia hiyo