Njia ya kumtongoza mwanamke akakupenda daima

Njia ya kumtongoza mwanamke akakupenda daima

Watuambie wenyewe ,tufanyaje ili wanase kirahisii

Pesa tuuu

Pesa tuuu
 
Tatizo ni theory hii...vitendo ukijaribu kuapply tu utakuwa maradona wewe hadi ukome...
 
Utaongea mengi ila boss ni Pesa
Yaan huu ndo ukweli ulio uchi..yan kama mimi nimeteseka sana na mapenzi wakati sina kitu...saiz wao ndo wanapanga msururu wengine wanarudi wanalia...

Kwa hiyo pesa ndo kila kitu, vaa vizuri..ishi sehemu nzuri..nunua gari yani huna haja ya kitongoza..kila mwanamke atakuona jembe!!
 
ha ha ha ha eti tangu uzaliwe ujawahi kushika Million 5.
Punguza majibu ya kukatisha watu tamaa...
 
Mi Sitongozi Natongozwa Hasa Hasa Mjini Labda Niende Mashambani Tena Mbali Kabisa Kwa Sababu Kule Ukifika Ndio Unaambiwa Kama Unataka Nanihii Zako Hizo Zichukuliwe Na Panya Na We Unaona Shauri Yako
 
Back
Top Bottom