Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,372
- 12,479
Hahahah, akasemaje?Yani hizi swaga kama hizo mwisho ulikuwa mwaka 2000 asaivi kama huna hela imekula kwako
Kwamfano kuna dada namtongoza mm
Esms zangu hanijibu wala sm zangu hapokei juzi nikamuambia
Nakutakia maisha mema samahani kwa usumbufu
Alicho nijibu
Kabwe mm nina steres nina shida ya milioni 5
Nkamuambia duh toka nzaliwe mwenyewe sijawahi kuishika hiyo hela mm