sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,152
Ameeeen....Mkuu lengo,nia na dhumuni ni kumpa hongera..Agano liko palepale
nlidhani umesality kambi
Ameeeen....Mkuu lengo,nia na dhumuni ni kumpa hongera..Agano liko palepale
Mwanamke mwenye tabia namba 7 naomba ajitokeze tafadhari..Kuna zawadi yake
Ikanibidi nirudi kwanza nione iyo namba saba inasemaje okey mimi apa nimejitokeza hah hah hahMwanamke mwenye tabia namba 7 naomba ajitokeze tafadhari..Kuna zawadi yake
Kheee umejitokeza kutokea wapi?Mimi hapa nimejitokeza😉😉😛
Kheee umejitokeza kutokea wapi?
Rudi kaisome tena..Usije kupokea zawadi isiyokuhusuMimi hapa nimejitokeza😉😉😛
Teh teh...Yani we mwenyewe umeamua ujicheke..Mana unajua hauko hivyoIkanibidi nirudi kwanza nione iyo namba saba inasemaje okey mimi apa nimejitokeza hah hah hah
Rudi kaisome tena..Usije kupokea zawadi isiyokuhusu
Ona sasa jaman,,kwani kipimo chako ni nini mie si nimeanza kufurahia tu,,,apo kwel pagumu wakat akili zetu wanawake tunaiman mtu akikufanyia ivo ndo maupendoTeh teh...Yani we mwenyewe umeamua ujicheke..Mana unajua hauko hivyo
Teh teh...Hiyo tabia usimuambukize tu huyo mtt aliye tumboni..Mana ni balaaaMie kweli tena hataaaaa sitaki vitu vingi nataka pesa tuu, yaani we nipe pesa tuuu hivyo vitu vingi hataaaa usinipe sina hiyana, hata wewe hilo unalijua.
So last century.................Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi ya kuzungumza na
mwanamke au msichana. Kwa njia hii wanaume wengi
wanaishi maisha ya bila kumvutia mwanamke yeyote.
Hapa kunanjia 15 utakazozitumia wewe mwanaume ili
kuhakikisha humkwazi mwanamke unayempenda mnapokuwa
katika mazungumzo ;
1. Wakati ukizungumza nae, jaribu kuzungumzia "hisia" kama
vile kumbu kumbu yako ya utotoni, matarajio ya baadae au
matamanio yake. Mada hii ya mazungumzo yenu yatafungua
milango ya hisia zake ghafla.
2. Wanawake huhitaji mwanaume asiyekuwa na uoga wa
kuwamiriki na kuwaongoza. Wakati unazungumza na
mwanamke tawala mazungumzo yenu na kamwe usimpe
nafasi ya yeye kuanza kufikiri kuwa nini ulichokuwa
ukizungumzia.
3. Kuwa makini wakati unapokuwa ukizungumza nae huku
akikupatia majibu yasiyo na hisia zozote za mapenzi. Hapo
utajua kunakitu, hivyo kama kwa bahati mbaya uko nae karibu
kiasi cha kugusana, basi jisogeze pembeni wakati ukiwa
unaendelea kuongea ili asishtukie au unaweza kumuona
hayuko sawa katika utoaji majibu.. kwa kawaida
atakuonyesha ishara, hivyo kuwa nazo makini.
4. Kumbuka hii kauli mbiu "Ucheshi/vituko si mapenzi".
Wanawake huvutiwa sana na wanaume wanaoweza
kuwafanya wawe na furaha muda wote. Usijikite zaidi katika
kufanya utani unaopita kiasi na kusahau ulichokuwa
unaongea. Bali jikite zaidi katika mambo yanayomfanya
ajisikie kuwa na msisimko na starehe wakati ukonae.
5. Zama katika undani wa mazungumzo baina yako na yeye.
Mwanamke huendana na mwanaume asiyekuwa muoga wa
kuzungumzia mambo binafsi kwa ukaribu.
6. Wanawake wengi hupenda kujua maoni yako kuhusiana na
jinsi unavyomuona. Mwambie vitu unavyoviona kutoka kwake,
lakini jaribu kuwa makini ili usitamke vitu vingine vitakavyo
msababishia apoteze furaha.
7. Epuka kumpa ofa nyingi mwanamke, mwanamke huwa na
mashaka na mwanaume anayempatia vitu vingi kwa wakati
mmoja ama kila mara. Kwasababu atafikiri vitu unavyompatia
ni kutaka kumvutia tu ili umpate kiurahisi. Kitu ambacho
baadae kitaleta madhara makubwa.
8. Kama unahitaji kujua njia nzuri ya kuweza kuongea na
mwanamke au msichana bila kumfanya asikudharau au
kuboreka, basi usitumie njia ya kumuuliza maswali mengi
katika mazungumzo yenu. Bali jaribu kueleza mawazo yako
kuhusu vitu flani.
9. Kumbuka kauli juu ya kuuliza maswali: Badala ya
kumuuliza "wewe umekulia wapi?", uliza "unaonekana kama
hujakulia maeneo haya!" Hii itakusaidia wewe kufanya
uchunguzi juu yake bila yeye kujua.
10. Usifiche utambulisho wako - zungumza vitu kutoka katika
hisia zako, onyesha uhalisia wako katika kuzungumza na
usitumie mikogo ya mtu yeyote.
Njia bora ya kufikiria jinsi ya kuzungumza na mwanamke, ni
kutambua njia sahihi ya mazungumzo ya furaha na
yakimahaba utakayopenda kuitumia, isipokuwa usimuige mtu.
Kuzungumza na mwanamke sii vigumu bali nikujua ni vitu gani
hasa mwanamke hapendi kuvizungumzia na vitu gani
anapenda kuvisikia. Fuata maelekezo hapo juu utaona
matunda yake...kisha rudi toa maoni yako hapa.
MUHIMU: Maelekezo haya yote yatafanikiwa kwa mwanamke
mwenye kuhitaji mapenzi ya kweli - yani sio kwa wanawake
wanaolenga kuchota pesa kwako na kutokomea. Hivyo kuwa
makini sana.
Teh teh...Hiyo tabia usimuambukize tu huyo mtt aliye tumboni..Mana ni balaaa
Na usipofanya hivyo jiandae kugongewa tu..Ona sasa jaman,,kwani kipimo chako ni nini mie si nimeanza kufurahia tu,,,apo kwel pagumu wakat akili zetu wanawake tunaiman mtu akikufanyia ivo ndo maupendo
Bora awe wa kiume..Atleast afwate tabia za baba yakeSasa honey unataka apende nini humu duniani zaidi ya hicho? Atakula nyasi?
Apo ndo uwaga mnanichekesha kabsa wanaume kwan ukigongewa kinapungua nini?unakuta tu vile vile jaman,kweli wanaume ni selfish in natureNa usipofanya hivyo jiandae kugongewa tu..
Bora awe wa kiume..Atleast afwate tabia za baba yake
Duuh..Basi akizaliwa ntampeleka akelelewe na Dada yake @Heaven Sent...Hilo pepo la pesa silitaki tena kwenye familiaHuyu ni wakike aisee maana sio kwa kukupenda huku!