Didia
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 719
- 258
Kuna mbinu kadhaa vyama tawala Africa, hasa CCM, hutumia kuiba kura na au kubadili matokeo ili vishinde. Zifuatazo ni baadhi na mbinu CDM inaweza kutumia kukabiliana nazo
1. Kuhonga mawakala (poll agents) na kusaini matokeo feki, pia kupoteza fomu za matokeo. [Njia hii hutumika kama mawakala wa vyama vinavyoshiriki uchaguzi ni wachache]
2. Msimamizi wa uchaguzi (MKurugenzi) kuwasilisha fomu feki za matokeo ya vituo kwa majumuisho.
6. Kuhamisha majina ya wapiga kura kutoka kituo/kijiji/kitongoji kimoja hadi kingine. Hii ndo njia hatari nayakutisha maana wapiga kura wengi ni rahisi kukata tamaa pale jina lake litakapo kosekana kwenye daftali katika kituo alicho jiandikisha. CCM inataraji kutumia njia hii hasa pale penye wanachama wengi wa chama pinzani.
1. Kuhonga mawakala (poll agents) na kusaini matokeo feki, pia kupoteza fomu za matokeo. [Njia hii hutumika kama mawakala wa vyama vinavyoshiriki uchaguzi ni wachache]
- Jinsi ya kutatua: CDM inashirikiane na mgombea wa chama kisicho na nguvu ilmuwekee mawakala hivyo kuwa na wakala zaidi ya mmoja kila kituo. CDM inakikishe kila wakala analipwa na anatoka na fomu ya matokeo. Fomu zikusanywe na makamanda mara tu baada ya matokeo kutanganzwa. Kila kijiji kiwe na center ya kukusanya fomu hizo. Wapiga kura waambiwe kumdhibiti wakala yeyote wa CDM atakayetoka ndani ya kituo bila fomu ya matokeo
2. Msimamizi wa uchaguzi (MKurugenzi) kuwasilisha fomu feki za matokeo ya vituo kwa majumuisho.
- CDM iandae E-xel sheet ya matokeo ya kila kata na vituo vyake. Matokeo ya kila kituo yanaposomwa wawakilishi wa CDM wawe makini kwa kulinganisha, yakisomwa tofauti waweke objection na kutaka kuiona fomu ya matokeo, kwa vile walikuwa tayari wana support ya mgombea mwengine walinganishe fomu zao na ya msimamizi , na wakatae matokeo hayo kuwa sio fomu halali
- Kabla ya mchakato wa kuhesabu kura kuanza CDM iwe tayari ina matokeo na kujua mshindi. kama imeshinda imape taarifa wanachama wake. kundi la vijane likae nje ya ukumbi kwa utulivu huku likipenyeza maneno kwa askari, "tunajua tumeshinda kwa kura [.......]. tunasubiri atangazwe" . matokeo yakicheleshwa zogo lianza (Mz, Arusha model)
- Kwenye chumba cha kuhesabu kura msimamizi ajulishwe matokeo mapema na kutishwa (kwa kuumwa sikio): "ukichakakachua tunakufa na familia yako popote itakapohamia
- ...
- CDM iwe na orodha ya vituo vyote iliyotolewa na msimamizi, ijue kila kata kuna vituo vingapi na idadi ya watu waliojiandikisha. ikatae kituo chochote hewa
- Wakala wawe makini na wasikubali mtu aingie na mkoba. wahakikishe masanduku ya kudumbukiza kura kura yapo mahali wazi na yanaonekana vyema
6. Kuhamisha majina ya wapiga kura kutoka kituo/kijiji/kitongoji kimoja hadi kingine. Hii ndo njia hatari nayakutisha maana wapiga kura wengi ni rahisi kukata tamaa pale jina lake litakapo kosekana kwenye daftali katika kituo alicho jiandikisha. CCM inataraji kutumia njia hii hasa pale penye wanachama wengi wa chama pinzani.
- Mpaka sasa sijui hili linaweza kutatuliwa kwa njia gani. Wadau naomba mchangie