Njia wanazotumiaga kuiba kura na jinsi ya kukabiliana nazo

Kuiba kura ni pamoja na kutumia mbinu chafu ambazo zinakiwezesha chama husika kushinda, mbinu hz ni kama zifuatazo

1. Kununua shahada za wapiga kura ili wasiende kupiga kura.

2.Kuondoa majina ya baadhi ya wapiga kura wanadhaniwa kuwa wako upinzani ili wasipige kura.

3.Kuwatumia polisi kuwatisha wapiga kura na kupiga mabom pale wapiga kura wanapoona kuna mizengwe inataka kufanyika mf. kubadilisha matokeo aliyeshindwa kutaka kutangazwa kuwa mshindi na aliyeshinda kunyang'anywa ushindi.

4.Kuwatumia wakurugenzi kutangaza wagombea wa chama tawala hata kama washindwa kutimizia agizo la rais aliyewateua kwamba lazima ahakikishe kwenye jimbo lake chama tawa kimeshinda.

5.Kuongeza maboksi ambayo yana kura zilizopigwa tayari.

6.kura zingine zinaingizwa zikiwa zimewekwa kwenye Hotpot ya chakula wakati wasimamizi wamepelekewa chakula.

7.Kuwahonga mawakala wa vyama vya upinzani kwa gharama yeyote.

8.Kuwa na vituo hewa vya kupigia kura mf. kituo hewa x ccm kura 2067, CDM kura 13.

9. Tume kupika matokeo hasa ya urais kuwa tofauti na yaliyoko majimboni.
ZIKO MBINU 12O ZINGINE ENDELEZENI MNAOZIFAHAMU.
 
Hhahhahaha hiyo namba 6 ya kura kuwekwa kwa hotpot nimeipenda! Imetulia ile mbaya!
 
Hii kitu imeishakuwa kama wimbo wa Taifa utakuta kiongozi wa chama anawaeleza wanachama wenzake kuwa tulikuwa tumeshinda ktk huu uchaguzi tatizo CCM wameiba kura.

Hakuna anayeiba kura, hayo ni malalamiko ya kihisia tu. Iweje majimbo mengine wapinzani wanashinda? Je hao wezi wanashindwa nini kuiba huko?
 
JK sasa hivi anagawa ng'ombe kwa wamasai wa Arumeru Mashariki. Wamasai kama unavyojua hawana makazi maalum. Hivyo wote wameaagizwa kwenda Longido kuchukua ng'ombe na ni hao wamasai wa Arumeru Mashariki ndio wanapewa kipaumbele ktk ugawaji.
 
Nakumbuka hata Mbowe alivyogombea urais akashindwa alisema kaibiwa kura zake.
 
mods unatuchanganya hii mada ya Igunga leo ni meru wapi na wapi? au sababu inaelezea uchakakachuaji? magamba wanakuja na stile nyingine kabisaa, of couse zingine ni siri za kiwanda tusiweke humu Nape yumo humu
 
Hhahhahaha hiyo namba 6 ya kura kuwekwa kwa hotpot nimeipenda! Imetulia ile mbaya!
tuulize sisi wa segerea ndio tunajua Mahanga alitufanya nini pale antogro 1st wakakata umeme alf zikaingia hotpot. tukapotezewa hapo hapo, ccm ni majambazi nyie achen tu, ila safari hii tumewashika kubaya( sehem ya haja)
 
Back
Top Bottom