Kama wewe uko ndani ya CCM na unategemea kupata vyeo au kuwa mkubwa huko mbeleni eti kwa kuwasifia Viongozi wako na kuwatukana Viongozi wa upinzani,basi sahau,maana utakuwa kama Lucas Mwamshamba,
Njia rahisi wewe nenda upinzani,hasa Chama Cha Chadema,vumilia kule hata miaka mitano halafu anzisha zogo na viongozi wako wa chadema,halafu vua gwanda hamia CCM,yaani vyeo huruma upendo na kuthaminiwa vitakutafuta,si mnamuona huyu aliyejipaga jinsi anavyo hudumiwa na kupewa upendo