Njia rahisi ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara

Million 1-5 na sio chini ya hapo.. Lengo kutaka mtaji WA kufanya biashara inayo eleweka na itakayo nitoa kimaisha sio hizi hadithi za karanga.. Nataka biashara kidogo inayo eleweka
Nadharia za karanga zinampaisha Diamond.
 
Nadharia za karanga zinampaisha Diamond.
Jiongeze basi mdada.... Kwahyo hzo karanga nnazo zungumzia mimi we tayari umepeleka kwa diamond..... Hv unajua ni kiasi gan smart industry imejiwekeza pale... Kuanzia packaging hadi promotion... Hv ata hyo million 5 nnayo itaka mimi kurusha tuu tangazo haitoshi...

Nadhan karanga nnazo maanisha unazijua ila jeuri tuuu...

Hv ndio wakunijibu hvyo mimi??
 
Key point ni karanga

Hiyo packaging and everything else ni creativity. Ambayo haikuwa imefikiriwa na watu wengi huko nyuma.

Same to you,unaweza kuongeza ubunifu katika ulichonacho na ukajikuta sehemu bora zaidi.
Ubunifu haumaanishi mamilioni ya pesa,
La hasha ubunifu unaweza kuwa wa bidhaa yenyewe,marketing strategies,customer care n.k.

So ulivyoizungumzia karanga ni as if haiwezi kumpeleka mtu popote.
 
Nunua matetea 3 na jogoo 2 jenga zizi la kuku ufuge kuku wa nyama na mayai kama wa kienyeji ni wazuri na wana soko la uhakika. Nani asiyependa nyama?

Anza hata na laki 2 hivi hakikisha unapandisha mtaji ukianza chini unapanda lakini ukianza juu ukishindwa na mtaji ulowekeza mkubwa utaeza ukate tamaa tu bure.
 
Nimefungua biashara juzi kwa mtaji wa laki nne na nusu. Biashara ina week mbili, mpaka sasa kila siku nina uwezo wa kuingiza elfu kumi. Lakini tayari niliahagundua jinsi ya kuifanya idouble hapo ilipo. Kaa umiza kichwa uanze na kidogo utakachoweza
 
analeta utani huyu.. diamond plutnumz tu kalipwa milioni 50.. azifanyie promo na jina litumike.. mtaji wa kiwanda cha smart sio chini ya bilioni moja... packaging tu wanayofanya smart kwa mwezi ina wacost mamilioniiii.. kijana utoke chuo ushindane na smart aka diamond karanga


 
Nimefungua biashara juzi kwa mtaji wa laki nne na nusu. Biashara ina week mbili, mpaka sasa kila siku nina uwezo wa kuingiza elfu kumi. Lakini tayari niliahagundua jinsi ya kuifanya idouble hapo ilipo. Kaa umiza kichwa uanze na kidogo utakachoweza
Biashara gani ndg.?
hbu tpe ABC nasi tujifunze kitu
 
Kama una kazi na mshahara wa 500k/mwez, huwezi kukosa mkopo unaoongelea. Kama huna akaunti benki, fungua, baada ya miezi kadhaa, omba
 
Kijana kubali kuanzia chini, hy m5 unayohtaji ni kubwa syo ndogo , biashara anza na mtaji mdogo na ukubali kujitesa, subira na malengo, Anza na nguo kumi kwa vyovyote hazizidi lak tano, angalia faida na changamoto,mtaji utapanda tu
 
Umetolea mfano wa kulipwa laki 5 au ni wewe ndie unalipwa laki 5
 
Usifikirie nilianza miaka hiyoo nimeanza biashara ndogondogo 2014 mwezi wa 10.Na mpaka sasa nafedha kidogo tu ni vimiradi kama viwili kimoja cha Mil 7.Kingine cha Mil 4.
Mkuu naomba share nasii kwa faida ya wote
 
Rafiki yangu #KINUNDU# japo sijajua biashara unayofikiria kufanya naomba nijaribu kukupa mwanga kidogo kadri nami nitavoweza.Kwanza mkopo unaoomba ni mkubwa sana kwa mjasiriamli kama wewe ambaye hujabahatika kuwa na Mali isiohamishika kwani taasisi nyingi zinazojihusisha na mikopo Mara nyingi sana wanatumia kigezo cha Mali isiohamishika kwa mkopaji ama kwa mdhamini atakaekudhamini,pili ni vigumu kwa taasisi ya mkopo kutoa mkopo kwa mtu ambae hayuko ktk ringi ya biashara kumpatia mkopo ili ndo akaanze labda upate kwenye vikundi vya mtaani ambavyo navyo havina mtaji wa kutoa 5ml kwa muombaji mmoja BIASHARA NINI- ni Faida +hasara.Hata ukifanikwa kupata hicho kiasi bado itakuwa ni mtihani mkubwa kwako kwani marejesho yke si chini ya laki 5 kwa mwezi na muda huo ndo utakuwa bado unajifunza na ili uwe mfanyabiashara mzuri na mkubwa tegemea changamoto zaidi na hasara zaidi hapo ndo sehemu ambayo hukwamisha wengi na kuamua kukatisha safari kwani pindi wanataka kuingia uringoni walkuwa na mahesabu makubwa na Faida nene za kwenye makaratasi.Hivyo basi nakuomba kukushauri ingekuwa poa sana kama ungekuwa na kianzio ili hicho ulichonacho ndo ukifanye chambo baadae ya kuwa mzoefu na mjuvi ndo ungeanza process za mikopo ukiwa tayari unaelewa bzness ikoje mapungufu yke vikwazo na nini hasa kinakupungikia AHSANTE MKUU
 
Nimekuelewa sanaa pendo
 
Nimefungua biashara juzi kwa mtaji wa laki nne na nusu. Biashara ina week mbili, mpaka sasa kila siku nina uwezo wa kuingiza elfu kumi. Lakini tayari niliahagundua jinsi ya kuifanya idouble hapo ilipo. Kaa umiza kichwa uanze na kidogo utakachoweza
Biashara gan mkuu hyo unayofanya?
 
We jamaa tupo pamoja
 
Kama una kazi na mshahara wa 500k/mwez, huwezi kukosa mkopo unaoongelea. Kama huna akaunti benki, fungua, baada ya miezi kadhaa, omba
Sawa mkuu japo mikopo mingi wanataka uwe na asset... Mbaya zaidi mi sina asset yeyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…