Aiache tuu azae, siku zote mwanzo huwa mgumu na naamini ipo siku in future huyo mburula atakuja kudai damu yake. kutoa mimba ni mauaji na pia kuna madhara makubwa kiafya kwa kitendo hicho. Nashauri aendelee nayo tuu mpaka atakapojifungua na maisha yendelee. huyo jamaa hana mapenzi ya kweli na huyo dada, anafanya mauaji ya mtoto kwa kuogopa aibu kwa wanadamu, Mungu nae anamdanganyaje.........
alee mimba azae, hajaona waliolea na wakazaa na wanaish vzuri? Akienda kutoa akafa au akaharibu kizaz au madhara yoyote huyo sijui mchumba/mpenz/mchepuko nk. hatakuwa na hasara atatafta mwngne fresh aendelee na maisha. Mwambie alee mimba azae mwanae.
Namkaribisha kwenye chama cha wamama tanzania namtabiria ajifungue salama mtu mzuri wa kike loooo salim apate mchumba loo
Namkaribisha kwenye chama cha wamama tanzania namtabiria ajifungue salama mtu mzuri wa kike loooo salim apate mchumba loo
Akumbuke kuweka akiba na kununua mapema baadh ya vitu coz mtu akijfungua mahtaj yanakua meng. mungu amjalie baby gel inshallah!
elimu inatolewa sana tu wengi wao usemaga ni baati mbaya asa mi cjajuaga kama nibaati mbaya au ni wasichana wengi kutokujua elimu ya siku zao za kuwa free kufanya mapenz bila ku2mia kinga na asiweze kupata mimbakuna haja ya kutoa elim kwa mabint kuhusu kubeba mimba naona single mother wanaongezeka kila siku........
Hahahahaha!Ulivokosa kwangu ukaona umuombee kwa kijacho.
Akumbuke kuweka akiba na kununua mapema baadh ya vitu coz mtu akijfungua mahtaj yanakua meng. mungu amjalie baby gel inshallah!
hahahaaaaa ni shida nataka mrembo wa ukweli hahahaaaaa wew si ulikaba hadi penati
Hahahaha umejuaje anapenda bby gal,,,, anahisi atakuwa faraja yake,,,,,,,,