Kipepeo wa chuma1
JF-Expert Member
- Jan 17, 2021
- 387
- 558
Mhh! Mbona hatari hiyo na kuwa makini maana ukijaribu kuuvaa uhusika ingekuwa ndo wewe unachukuliwa mmeo ingekuweje?Habari za mchana wadau.
Ni hivi ni takriban miezi sita Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu,tunapendana Sana na tumespend Sana kipindi cha miez mitano iliyopita bila mkewe kujua.
Nikapata Safari mkoa flan,tukawa tunawasiliana kwenye simu almost every day and night.Sasa mhusika akawa hafuti zile simu na meseji tunazoandikiana.Akabadilika na tabia kwani kila usiku ilikuwa lazima tuzungumze hata hadi saa 8 za usiku.Mkewe akamchunguza simu yake akagundua Hilo, akachukua na namba yangu.
Sikumoja akanipigia simu usiku wa manane akanionya kuhusu kutoka na mumewe,akanambia ananipa taarifa kistaarabu ,nikamjibu nimemwelewa na nitaacha.Mchana akanipigia mumewe kunijulia hali,nikamweleza hali halisi ya mkewe kugundua penzi letu na mkwara alionipiga,nikamsihi aache kunipigia simu hasa usiku.Akanambia sawa.
Baada ya sikumbili wamekaa sehemu na mkewe usiku,akatoka pembeni kunipigia simu,mkewe akamwona,alivyorudi walipokuwa wameketi,mkewe akachukua simu ya mumewe kuangalia jamaa alikuwa anaongea na Nani,akakuta ni Mimi.Basi ukazuka ugomvi mkubwa Hadi kuvunjiana simu na mwanamke kuondoka nyumbani.
Asubuhi jamaa akanipigia simu kunielezea kisa kile,nikamshauri amfate mkewe ambembeleze arudi nyumbani.Kweli akafanya hivyo.Tatizo jamaa amegoma kutonipigia simu,anapiga hadi usiku.Wasiwasi wangu nakaribia kurudi toka Safari,halafu tunaishi majiran,je akinivamia?manake alishanionya nikamwelewa Ila tatizo mumewe kawa king'ang'anizi kwangu.
Wadau nifanyeje kwenye scenario h
Tafuta Mume wako , Achana na waume za watu.Habari za mchana wadau.

Wadau nifanyeje kwenye scenario hii?
Naogopa hata kurudi home, na aliongea kwa msisitizo nikae mbali na mumewe tusijeonana wabaya.Tia block kumpunguza speed kama kuachana haiwezekani. Jiandae kisaikolojia kwa yajayo
Jamaa alinambia ye muislam anaruhusiwa kuongeza mke so nisihofu.Mhh! Mbona hatari hiyo na kuwa makini maana ukijaribu kuuvaa uhusika ingekuwa ndo wewe unachukuliwa mmeo ingekuweje?
Huyo mwanamke mwenzio hapo alipo anahisi maumivu+hasira so kuwa makini usijemwagiwa hata maji ya moto,, huyo mshikaji atakuletea balaaa we mblock tu na Game over,, unamuumiza mwanamke mwenzio.
Kwani wewe ni mtumwa wake huyo mwanaume, unachokitaka utakipata la sivyo chukua hatua stahiki haraka sana. Achana naye awe ameafiki au lah. Tofauti na hapo unajipunguzia muda wa kuishi kwa kujitakia.Habari za mchana wadau.
Ni hivi ni takriban miezi sita Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu,tunapendana Sana na tumespend Sana kipindi cha miez mitano iliyopita bila mkewe kujua.
Nikapata Safari mkoa flan,tukawa tunawasiliana kwenye simu almost every day and night.Sasa mhusika akawa hafuti zile simu na meseji tunazoandikiana.Akabadilika na tabia kwani kila usiku ilikuwa lazima tuzungumze hata hadi saa 8 za usiku.Mkewe akamchunguza simu yake akagundua Hilo, akachukua na namba yangu.
Sikumoja akanipigia simu usiku wa manane akanionya kuhusu kutoka na mumewe,akanambia ananipa taarifa kistaarabu ,nikamjibu nimemwelewa na nitaacha.Mchana akanipigia mumewe kunijulia hali,nikamweleza hali halisi ya mkewe kugundua penzi letu na mkwara alionipiga,nikamsihi aache kunipigia simu hasa usiku.Akanambia sawa.
Baada ya sikumbili wamekaa sehemu na mkewe usiku,akatoka pembeni kunipigia simu,mkewe akamwona,alivyorudi walipokuwa wameketi,mkewe akachukua simu ya mumewe kuangalia jamaa alikuwa anaongea na Nani,akakuta ni Mimi.Basi ukazuka ugomvi mkubwa Hadi kuvunjiana simu na mwanamke kuondoka nyumbani.
Asubuhi jamaa akanipigia simu kunielezea kisa kile,nikamshauri amfate mkewe ambembeleze arudi nyumbani.Kweli akafanya hivyo.Tatizo jamaa amegoma kutonipigia simu,anapiga hadi usiku.Wasiwasi wangu nakaribia kurudi toka Safari,halafu tunaishi majiran,je akinivamia?manake alishanionya nikamwelewa Ila tatizo mumewe kawa king'ang'anizi kwangu.
Wadau nifanyeje kwenye scenario hii?
Shetani siyo lazima awe na mapembe, hata kuvuruga ndoa za watu ni ushetani vile vileHabari za mchana wadau.

Kwa nini unafanya hivy huoni mbele za Mungu wako anakuna kila siku ni vibaya unatenda dhambi itakayo haribu kizazi chako wewe acha na utubu na Mungu atakupa wa kwako.Habari za mchana wadau.
Ni hivi ni takriban miezi sita Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu,tunapendana Sana na tumespend Sana kipindi cha miez mitano iliyopita bila mkewe kujua.
Nikapata Safari mkoa flan,tukawa tunawasiliana kwenye simu almost every day and night.Sasa mhusika akawa hafuti zile simu na meseji tunazoandikiana.Akabadilika na tabia kwani kila usiku ilikuwa lazima tuzungumze hata hadi saa 8 za usiku.Mkewe akamchunguza simu yake akagundua Hilo, akachukua na namba yangu.
Sikumoja akanipigia simu usiku wa manane akanionya kuhusu kutoka na mumewe,akanambia ananipa taarifa kistaarabu ,nikamjibu nimemwelewa na nitaacha.Mchana akanipigia mumewe kunijulia hali,nikamweleza hali halisi ya mkewe kugundua penzi letu na mkwara alionipiga,nikamsihi aache kunipigia simu hasa usiku.Akanambia sawa.
Baada ya sikumbili wamekaa sehemu na mkewe usiku,akatoka pembeni kunipigia simu,mkewe akamwona,alivyorudi walipokuwa wameketi,mkewe akachukua simu ya mumewe kuangalia jamaa alikuwa anaongea na Nani,akakuta ni Mimi.Basi ukazuka ugomvi mkubwa Hadi kuvunjiana simu na mwanamke kuondoka nyumbani.
Asubuhi jamaa akanipigia simu kunielezea kisa kile,nikamshauri amfate mkewe ambembeleze arudi nyumbani.Kweli akafanya hivyo.Tatizo jamaa amegoma kutonipigia simu,anapiga hadi usiku.Wasiwasi wangu nakaribia kurudi toka Safari,halafu tunaishi majiran,je akinivamia?manake alishanionya nikamwelewa Ila tatizo mumewe kawa king'ang'anizi kwangu.
Wadau nifanyeje kwenye scenario hii?
Sasa Kama ni hivyo si afate taratibu ili uhusiano uwe kisheria katika misingi ya dini. Mwambie huyo mwanaume afate taratibu zote za dini ili uwe mke wa pili ,tofauti na hapo unajitafutia matatizo kwa kujitakia.Jamaa alinambia ye muislam anaruhusiwa kuongeza mke so nisihofu.
No ilitokea tu tunapendana, na nilivyojua Ana mke nikajitahidi isijulikane, that's y kwa miezi mi5 yote hakuwahi jua,amejua baada ya Mimi kuwa mbali na jamaa kuzidisha mawasiliano.Shetani siyo lazima awe na mapembe, hata kuvuruga ndoa za watu ni ushetani vile vile
Usifarijike na maneno haya,, sisi wanaume tukiwa tunamhitaji mwanamke tutampa maneno yoyote ili tutimize lengo letu,japo si wote lakini asilimia kubwa atakwambia anakupenda kumbe anataka akutumie na kukuacha.Jamaa alinambia ye muislam anaruhusiwa kuongeza mke so nisihofu.
Naogopa hata kurudi home,na aliongea kwa msisitizo nikae mbali na mumewe tusijeonana wabaya.
Sawa. Itafika zamu yako na wewe kama utabahatika kuolewa. Mume wako nae itatokea tu, na kibinti cha hapo mtaani kwenu. Ila na wewe uwe mvumilivu tu.No ilitokea tu tunapendana,na nilivyojua Ana mke nikajitahidi isijulikane, that's y kwa miezi mi5 yote hakuwahi jua,amejua baada ya Mimi kuwa mbali na jamaa kuzidisha mawasiliano.
Mimi hapa ndipo ninapopata kizunguzungu....Kiimani (Islamic) mume anaruhusiwa kuongeza mke wa pili mpaka hata wa nne...... Wakati akiwa kwenye hii process je huyo mwanamke wa nyongeza (wa pili, tatu au nne) huwa haihesabiki kama anakuwa na mahusiano na mume wa mtu? Au Kiislamu kuwa na mahusiano na mume wa mtu sio dhambi?Jamaa alinambia ye muislam anaruhusiwa kuongeza mke so nisihofu.