njia panda msaada plz...

Jamani hizi pesa zitatuharibia watoto, bora tu huyo mke asiende. Sio lazima kusafiri,kama mama ana akili, hataenda hiyo safari.

What if mungu akikuchukua? So watoto watabaki na nani? You have to look the other side of the coin,, wangapi wameshinda na mama zao miaka yote na ni machangudoa na mateja?
 
lazima kuna atakayekuwepo kutoa msaada. Kama watoto wako ok kiafya, na unasafiri kwa muda mfupi, mimi sioni tatizo liko wapi. Maana maisha yanaendelea hata kwa "forced eviction" ambayo huwa inafanyika bila ridhaa ya mtu. Remember our lives are in the hands of God...
Kweli mkuu kwenda kukaa kwa muda mfupi hakuba haja ya kuanza kuumiza vichwa kama vile huna ndugu unao weza kuwaachia familia wangapi hapa tumekaa kwa ndugu? Ni wengi sana huku wazazi wetu wangalipo
 
Kweli mkuu kwenda kukaa kwa muda mfupi hakuba haja ya kuanza kuumiza vichwa kama vile huna ndugu unao weza kuwaachia familia wangapi hapa tumekaa kwa ndugu? Ni wengi sana huku wazazi wetu wangalipo

unajua kinachoumiza ni ile unamuacha mtoto mdogo nyumban ambaye hata akionewa hawez kusema na kama umekufa ni sawa ila kama upo that is another thing
 
Mimi kwa upande wangu, ikiwa mke hataweza kuachishwa kazi, simruhusu kwenda nje...kama pesa me nitamlipa
 
unajua kinachoumiza ni ile unamuacha mtoto mdogo nyumban ambaye hata akionewa hawez kusema na kama umekufa ni sawa ila kama upo that is another thing
Acha fikra potofu hata sasa anaweza teswa na wewe ukiwepo bila kujua si unashinda kazini
 
Kama Bibi hana jinsi ya kumpeleka dogo shuleni na Mama hawezi kuacha utaratibu wa kueleweka na wa uhakika wa dogo kuhudhuria shule, basi wakati huo Mama atakapokuwa safarini dogo hatahudhuria shuleni.

kuna anayesoma je itakuwaje?
 
Mh... Job true true!
Kwetu tulikua tukiachwa na ndugu atlist most times bibi alikua available ingawa alikua akilalamika kuwaacha ng'ombe wake.
Other times kulikua na ndugu wanakuja...actually nyumban kwetu hakujawahi kukaukiwa ndugu aisee....bt ol for good.
Sa kwa case ya huyu mtu...mh..koz umesema ni watoto wadogo am assuming hakuna wa std 7, 4, ama any siriaz classes as thus. Meaning they can go kwa ndugu yako mmoja nao wapate experience ya kuishi away from hom n from their parents sio kama adhabu bt t wil b a nyc experience for them (an invaluable one). Na kama una dada wa kazi she can go wit them and help walau ndugu asipate mzigo (as umesema nao wana ajira zao).
Ts not a matter of kusema oh mapenzi ya mzazi sijui malezi sijui tusipende fedha ama nn..
At times even th kids need sometime away from th parents.
Kama umewalea vizuri tangu wachanga sidhan kama watapoteza maadili in 90 days...hehe tek it as muda wa mtihan to then kama they hav learnt th lesson.
Mkianza kuwaza in th lines of pesa mtafeel guilty...
 
Mimi kwa upande wangu, ikiwa mke hataweza kuachishwa kazi, simruhusu kwenda nje...kama pesa me nitamlipa

aisee mpo wengi wa stail hii. but kiukweli kwanini wanaume mnapenda wake zenu wawe hivyo yaani wasiwe na uhuru kama nyie mlivyo?
 
Acha fikra potofu hata sasa anaweza teswa na wewe ukiwepo bila kujua si unashinda kazini

wewe naona ndo unazo potofu zaid umesahau kwamba heri kenda nenda kuliko kumi nenda rudi enh! kama unarudi jion lazima utajua mtoto alionewa ama la istoshe watoto wa siku hizi ukikaa nae rum kumkumbatia tu atasema nani kamfinya nini amekula ila ni akili yako wewe mzazi kupima anacho kwambia sasa kama haupo what do you think.
 
aisee mpo wengi wa stail hii. but kiukweli kwanini wanaume mnapenda wake zenu wawe hivyo yaani wasiwe na uhuru kama nyie mlivyo?

Hapana kwa sababu Mke ni muhimu sana ktk familia, na anapokuwa hayupo watoto wanapata shida sana, wanakuwa wapweke ukiwaza sana unawaonea huruma, kwa hiyo kama pesa bora nizitafute mimi mke atumie na watoto
 
Back
Top Bottom