njia panda msaada plz...

njia panda msaada plz...

wewe ni mume wa mke na watoto 2. unaish nje ya nchi, mkeo yupo tanzania sasa mkeo kapata safari ya kikaz kwenda nje ya nchi je utakubali aende ama utakataa? nchi anayokwenda ni tofauti na uliyoko wewe.

yeye anakwenda kikazi na wewe uko huko kikazi. wewe kazi yako ni contract ya muda mrefu yeye ni safari ya muda mfupi. nyumban watoto ni wadogo sana ambao kubaki peke yao pasi usimamizi wa mzazi ni ngumu utafanyeje?

je wewe mama ama wewe baba mtafanyaje?

je unafikiri hela mnazotafuta wewe baba na mama watoto wanazifaidi kwa stail hii ya maisha?

Katika dunia hii ....maisha swala ni kujipanga.... mlipooana ulikuta mkeo kaenda shule kasomeshwa na wazazi wake, kifupi ana elimu yake, na wewe ulijua hivyo na pengine ulivutiwa na hilo sasa,..... mpe uhuru wa kwenda masomoni kujiendeleza au kikazi ... hamuwezi kukosa ndugu wa kuwaachia watoto kwa pande zote mbili ... kuna wadada house girls maalumu wanapatikana kwa kazi hiyo... wapeleke kwa ndugu nenda kwa wanaosajili house girl maalum ingia nao mkataba kwa kipindi chote mtakachokuwa mko majuu, dunia ya leo mama analeta na baba analeta .... hakuna kulala.....

dah hili suala limenigusa maana hata mimi niko km hii though yakwangu inahusisha kuacha kazi kabisa,ninachoshauri huyu mama atafute namna ya kuwaacha watoto kwenye mikono salama yaani ndugu yeyote ht hawa ambao soon watamaliza form 4 karibuni aje akae hapo kwake wakisaidiana na hg plus awe anawapigia simu za kutosha akiwa huko lkn asiache kwenda sababu ht ofisini ataonekana mzembe na asioangalia ht trip simple tu atakuwa hazipati,pls asiache kwenda na huyu mume amsupport mkewe mambo yatakwenda vizuri tu!
 
hapo ni muhimu sana, na kama bado kuna wanaume ambao hawalifanyi hilo............
 
inategemea na uhusiano wake na hao ndugu, kuwa na mji hakumaanishi huwezi kumsaidia ndugu yako kwenye issue kama hii.
mimi nikiwaga na safari na mume wangu hayupo yaani najichagulia tu this time nimwite nani aje kukaa na wanangu, yaani kupata mtu siyo issue kabisaaaaaaaaaaaaa

unachosema ni kweli but imagine wewe uko mji mwingine ndugu mji mwingine istoshe watoto wanasoma hakuna mtu ambae anaweza kuja kukaa kwako kwani walipo huko wana ajira je utawakatisha watoto shule ili uwapeleke kwa bibi ama ndugu? ama utawaajiria maid wa mkataba ama utaacha kwenda ama utawaacha peke yao na mdada aliyeko nyumban?
 
hapo ni muhimu sana, na kama bado kuna wanaume ambao hawalifanyi hilo............
FP nakutafuta sana hebu twende pm kwanza kiidogo?
 
Last edited by a moderator:
kwa kweli wen it cum kwenye kutafuta pesa huwa tunwasahahu sana hawa watoto jamani!
familia inapofikia kwenye nia panda hii,inabidi muangalie tu maslahi ya watoto!
siwezi kuimagine nyumba iwe haina baba wala mama(yani wote wamesafiri)kwa kipindi chote hicho
mby zaidi watoto ni wadogo
mimi ningebakitu na watoto huyo mume azitafute tu hizo chapaa aniletee mie maza house!mi ndo mana nilikuwa mwalimu kusema ukweli maswaa ya kusafiri safiri haya namuchiaga mwenyewe mi nijikalie na wanangu!naamk asubhi naenda kazini narudi home basi!
 
dah hili suala limenigusa maana hata mimi niko km hii though yakwangu inahusisha kuacha kazi kabisa,ninachoshauri huyu mama atafute namna ya kuwaacha watoto kwenye mikono salama yaani ndugu yeyote ht hawa ambao soon watamaliza form 4 karibuni aje akae hapo kwake wakisaidiana na hg plus awe anawapigia simu za kutosha akiwa huko lkn asiache kwenda sababu ht ofisini ataonekana mzembe na asioangalia ht trip simple tu atakuwa hazipati,pls asiache kwenda na huyu mume amsupport mkewe mambo yatakwenda vizuri tu!

wahanga ni wengi kweli wa haya mambo dah! ila umeongea point sana hapa .....................thumb up!
 
unachosema ni kweli but imagine wewe uko mji mwingine ndugu mji mwingine istoshe watoto wanasoma hakuna mtu ambae anaweza kuja kukaa kwako kwani walipo huko wana ajira je utawakatisha watoto shule ili uwapeleke kwa bibi ama ndugu? ama utawaajiria maid wa mkataba ama utaacha kwenda ama utawaacha peke yao na mdada aliyeko nyumban?
Bibi si aje kwako,na house girl si yupo?kwani mke anakwenda kwa muda gani?
 
rafiki yangu, ni vizuri sana kuwa na uhusiano mzuri sana na wale ndugu zetu wa kijijini.
mimi kwetu tumezaliwa wa3 tu, wadada 2 na mkaka 1. mimi na mdogo wangu wa kike wote tumeolewa na tunaishi mikoa mbali mbali sana. na watoto wetu wote wanasoma. ila tuna mahusiano mazuri sana na watoto wa mama wakubdwa, wajomba.........
mimi mara zote ninazosafiri wanaonisaidia ni wale ndugu wa vijijini ambao wameolewa, tena ni watu wazima sana kwangu, lakini kwa jinsi ninavyowa-treat yaani hawawezi kukataa kunisaidia.... hata kama nitakaa mwaka.
la muhimu ambalo nafanya, wale ndugu ambao naona wanaweza kuja kukaa na wanangu huwa nawatembelea mara kwa mara na watoto wangu au wao huwa nawaita kuja kwangu hata kama nipo, ili kujenga mahusiano na wanangu. hata nikiwa nasafiri nikiwaambia wanangu aunt fulani atakuja kukaa nanyi wala hawashituki.
ila hii tunaifanya kama mimi na mume wangu wote hatupo home, lakini kama mmoja yupo home au tumesafiri kwa wiki huwa tunawaacha watoto na dada tu
 
kwa kweli wen it cum kwenye kutafuta pesa huwa tunwasahahu sana hawa watoto jamani!
familia inapofikia kwenye nia panda hii,inabidi muangalie tu maslahi ya watoto!
siwezi kuimagine nyumba iwe haina baba wala mama(yani wote wamesafiri)kwa kipindi chote hicho
mby zaidi watoto ni wadogo
mimi ningebakitu na watoto huyo mume azitafute tu hizo chapaa aniletee mie maza house!mi ndo mana nilikuwa mwalimu kusema ukweli maswaa ya kusafiri safiri haya namuchiaga mwenyewe mi nijikalie na wanangu!naamk asubhi naenda kazini narudi home basi!
mwl mwenzangu hii mitihan ii ni migumu sana aisee.......... yaani bado kazi nzuri ni ualim when it comes to child rearing. tena wataalm wa childhood development huwa wanatufundisha kuhusu watoto kukosa upendo ndo hapa nauona kwa herufi kubwa.
 
Bibi si aje kwako,na house girl si yupo?kwani mke anakwenda kwa muda gani?
kuna wabibi wafanya kazi. kama mimi mama yangu na mama wa husband wote wafanya kazi, sasa hapo labda kama safari ilipangwa muda mrefu uwaambie wajipange mmoja achukue likizo, otherwise imekula kwako
 
kwa kweli wen it cum kwenye kutafuta pesa huwa tunwasahahu sana hawa watoto jamani!
familia inapofikia kwenye nia panda hii,inabidi muangalie tu maslahi ya watoto!
siwezi kuimagine nyumba iwe haina baba wala mama(yani wote wamesafiri)kwa kipindi chote hicho
mby zaidi watoto ni wadogo
mimi ningebakitu na watoto huyo mume azitafute tu hizo chapaa aniletee mie maza house!mi ndo mana nilikuwa mwalimu kusema ukweli maswaa ya kusafiri safiri haya namuchiaga mwenyewe mi nijikalie na wanangu!naamk asubhi naenda kazini narudi home basi!
mlongo wangu, uyumwiki?
je kama unaenda shule au wewe mama upo shule na baba kapata hiyo safari na ni lazima aende utafanyaje? utaacha shule ukakae na watoto?
 
mwl mwenzangu hii mitihan ii ni migumu sana aisee.......... yaani bado kazi nzuri ni ualim when it comes to child rearing. tena wataalm wa childhood development huwa wanatufundisha kuhusu watoto kukosa upendo ndo hapa nauona kwa herufi kubwa.
wacha tu i see!basi tu maishani htuwez wote kuwa na ajira sawa,dada zangu huwa nawaonea huruma kweli wanapoksa wadada home yani ni pasua kichwa mbya!AU kapata tirp sijui ya wapi inabidi aende ah!pesa tamu lakini yet mtoto nae anahitaji mapenzi mara nyingi wengi huishia hapa pa kuwaacha watoto aither na housegirl au nani sijui ,kuhusu kuwaachia mabibi inategemea na bibi mwenyewe,umri wake wengine wao wenyewe wanahitaji kulelewa sasa umuachie mtoto wa mwaka 1 au 3 ndo kinakuwa nini,hapo hakuna kufanya homeworks wala nini,hakuna kwenda kusali jumapili mara nyingi kama kabaki na dada,na hyo dada mwenyewe full kujiachia humo ndani!ah mi staki jamani nitalea tu wanangu!
 
huyo mke na mume hawana ndugu wala wazazi wa kuwatunza watoto kwa kipindi kifupi mke anachosafiri au?
 
Bibi si aje kwako,na house girl si yupo?kwani mke anakwenda kwa muda gani?
miez 3 mama anasafiri. bibi ni muajiriwa ambaye kazi yake ni sensitive kidogo hata akichukua likizo haiwez zidi siku 28
 
huyo mke na mume hawana ndugu wala wazazi wa kuwatunza watoto kwa kipindi kifupi mke anachosafiri au?
yaani mpaka naleta uzi huu wamewaza sana juu ya nini kifanyike manake mke ukoo wake ni mdogo sana wajomba na mamma wadogo hana, mume ndo anandugu ila wako makwao. wadogo wa mke wote wako miji tofauti sana. bibi mzaa baba naye anauguza wazazi wakso hawez kuja huku na kipelekewa wajukuu ni kama kumtesa tu mama wa watu.
 
Tuko pamoja kwa umri wa wanangu kuna vitu nimeamua kusacrifice kwa ajili ya watoto wakue kidogo wasichana wenyewe wa kazi siku hizi vituko mtindo mmoja usipokuwa na mtu makini karibu mwisho wa siku na iyo pesa inakua chungu.

kwa kweli wen it cum kwenye kutafuta pesa huwa tunwasahahu sana hawa watoto jamani!
familia inapofikia kwenye nia panda hii,inabidi muangalie tu maslahi ya watoto!
siwezi kuimagine nyumba iwe haina baba wala mama(yani wote wamesafiri)kwa kipindi chote hicho
mby zaidi watoto ni wadogo
mimi ningebakitu na watoto huyo mume azitafute tu hizo chapaa aniletee mie maza house!mi ndo mana nilikuwa mwalimu kusema ukweli maswaa ya kusafiri safiri haya namuchiaga mwenyewe mi nijikalie na wanangu!naamk asubhi naenda kazini narudi home basi!
 
Ndio wanawajengea maisha yao, kwani mwanzoni mama alipokuwa anaenda kazini walikuwa wanabaki na nani? cha msingi kabla ya kuondoka kwenda nje kikazi mama anapaswa awaache watoto kwenye mikono salama
 
mlongo wangu, uyumwiki?
je kama unaenda shule au wewe mama upo shule na baba kapata hiyo safari na ni lazima aende utafanyaje? utaacha shule ukakae na watoto?
niyumwiki mlongo wangu
mimi kwa kweli tumewekeana kautaratibu na shem wako,mmoja lazima awepo home ,so hata maswala ya kujiendeleza kielimu kwa kweli yanafanyika kwa utaratibu huo.
 
Back
Top Bottom