Njia nzuri ya kudownload file kubwa TZ ni ipi?

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,495
2,252
Tuseme ninahitaji kudownload file ya 8GB, kuna sehemu wanaprovide service kama hii? Au kuna mtu anajua njia nzuri/nafuu ya kufanya kitu kama hiki?

Maana kwa mitandao ya nyumbani ya pay as you go inanikost kama laki nne:(
 
mkuu,unaweza kunicheck nikusaidie,ila inaweza kuchukua kama week moja hivi kumaliza kudownload hilo file maana isp wangu ananibania sana.nitakkufanyia free mkuu.
 
Back
Top Bottom