watu wengi wanapenda ps4 za kuchipu kuepuka gharama za games za kununua na account,
Ps4 iliyochipiwa unadownload game lako mtandaoni, unalihamisha kwenye mashine unaanza kucheza.
PS4 zenye soko kubwa ni version 9.00 kwasababu ya urahisi wake wa kuchipu, juu ya hapo watu wengi wanazikwepa au kuzinunua kwa ugeni na kuja kujutia baadae kwasababu ya lutowezekana au ugumu wa kuzichipu. na hata hio 9.00 inabidi uwe makini, ukijisahau uka connect internet bila kuzima updates unaikuta imejipandisha hadi version 12.
Watundu wamebuni mbinu mpya ya kuchipu mpaka version 12.02 kwa njia ya kutumia cd ya BLURAY