Zipo mkuu ndo kwanza naanza kila mmoja atapata tusiwe na haraka mkuuVijana mnaosubiri mbinu ni kwamba hazipo
Mkuu wangu naomba ujue kuwa msiishi kwa kukalili sasa zama zimebadilika mkuuHakuna njia rahisi ya kupata hela tusidanganyane. Lazima uumize kwichwa au mwili ili uweze kupata hela.
Labda ujiunge ccm ule teuzi ndio njia nyepesi ya kula cake ya taifa.
Ka kwa kutulia mkuu usitegemea kuja kumiliki V8 kwa kazi unayofanya..Hata malaya anatoka jasho, hakuna cha bila jasho.
Mkuu mimi kaa kwa kutulia nazani leo inaweza kuwa siku ambayo utapata madini ambayo hutokaa ukasau your all lifePoor Brain anakaa jangwani ghetto la elf 15 mvua ikinyesha ni swimming pool ndani yenye mixer na maji ya chemba kama zote alafu anafundisha utajiri wa bwerere
Hio typing ya 'takuambia' 'tatoa' 'tafundisha' ndo slang mpya za mjini au we wa pili sasa naona humu
Nipo jobHahahah yaan unatumia muda mwingi kujibu comments kwa aya ndefu halafu madini hayatoki. Unataka kuniambia ulianzisha thread kabla hata mbinu zenyewe hujazijua
Nilijua tu hakuna kitu kama hiki😂😂Kama kijana ambaye hutaki mambo ya kuvuja jasho...
Hutaki kazi ngumu na kazi huna....
Unataka maisha smart ila kazi ngumu hutaki..
Basi hapa panakufaaa takupa mbinu ambazo zitakufanya wewe uwe unapata pesa bila kusumbuka.. sawa blood..
Oky endelea fatilia zaidi kila siku tatoa mbinu tatu ambazo zitafanya wewe kijana upate pesa ukiwa zako umekaa ...
Siku hizi pesa hawatafuti bali wanatega tuu just use brain vizuri kijana....
Kama kuna swali nakaribisha
Darasa lishaanza kwa group ya wassap mkuuNilijua tu hakuna kitu kama hiki😂😂
Kwishaa😂😂Darasa lishaanza kwa group ya wassap mkuu
Hiyo group ya whatsapp ni ya kulipia sasaDarasa lishaanza kwa group ya wassap mkuu
Mkuu nadhani ww na mimi tumesoma wote chuo kileeeeHard work does not necessarily pay ukitaka kupata pesa wewe fanya / toa / tekeleza jambo ambalo mtu / watu wenye pesa kwa wakati huo wanaweza wakabadilisha hayo makaratasi yao na hicho kitu (iwe ni bidhaa, service, utapeli au chochote kile) na kama hawawezi kukupa hizo pesa unaweza ukazichukua be it ulaghai au wizi...
Wenzako wapo huku wanachotoa ni shukurani kwa kitendo nachofanyaKwishaa😂😂
5k mkuu japo kule nishaanza hvo nahuku naanza kushusha nondo sio mdaHiyo group ya whatsapp ni ya kulipia sasa
Hilo group ni la kulipia au?Wenzako wapo huku wanachotoa ni shukurani kwa kitendo nachofanya
Karibu mkuu
Duh mbn mtihani sasa5k mkuu japo kule nishaanza hvo nahuku naanza kushusha nondo sio mda