Njia kuu utata mtupu!

Njia kuu utata mtupu!

Thanx myn masai dada.its hard my dear,thank God and enjoy kabla hujafikwa.thanx alot
 
Mwanaume lazima atachepuka tu,ndo nature yake ilivyo,cha muhimu muhimize kuwa mwangalifu na atumie kinga huko kwa michepuko.Kama unataka maisha yaliyojaa stress jaribu kumbana mwanaume njia zote kuzuia asichepuke.
 
Pole sana, ila kwanini usikaze moyo konde na kumuambia ukweli.

Usiishi kwa kuhisi hisi mwambie tu
 
Kuna kipindi cha TV Ghana kinaitwa 'The StandPoint listen to the feminist side. Tafuta 'abusive relationship' topic'; kipo You Tube kitakusaidia ku deal na situation ulonayo....

May be utaweza ku decide when to stay, when to walk away and when to run....
 
Eeh...umenyanganya funguo za gari ili iweje? Nani ni mmiliki....? angalia usije kuwa unaongeza petrol kwenye moto badala ya maji

Ok katika hiyo TV program angali pia Healing after Cheating' ; 'The effect of broken homes on children'

na 'How to heal from cheating'

'Why do women stay in abusive relationships' na 'Mistakes Married Women Make'

Ni vipindi vizuri na educative

Asante mpondamali nimekuelewa.nishamwakia kawa mdogo,nimemnyang'anya funguo za gari
 
Inabidi upewe kazi usalama wa taifa....


Hiyo poa,siyo una acha dots za kuwa traced easily, alikuja home late like saa 7,huwa sipendi shika cmu yake make sitaki pressure za bure,kutokana na mida alokuja ikabidi nistuke,ni hinge mzigo wangu,kucheki cmu naona call tangu saa 1 waliwasiliana,mara 3 wakawa wote I ucku ucku wa saa 7 wakapigian kucheki kama amefika,jina limeseviwa,nikalitracy tigo pesa,nikaingia whatsapp na face book ni kapata picha na information zake, ni kapata full information,nikamuonyesha mume mchepuko picha na kila kitu kuhusu huyo concubine,akashikwa na butwaa,si unajua inavokuwa eeh,!zaidi ya hapa intake ushahidi gani.
 
naisubiria kwa hamu hiyo thread.
Hey! Blue G!
Take it easy! I think ulinifasiri vibaya! Sikuhalalisha michepuko kwa me! Na hata hayo mamlaka ya kuhalalisha sina! What i have tried to tell ni main reason ya kuchepuka kwa me!
...
Nilichokiongea nahisi kimewamisslead ke wengi, nahisi kuna haja ya kuwaondelea wasiwasi kuhusu ile thired!
Nikipata mda nitafanya hivyo!
...
Uwe na siku njema Blue G!
 
Nawasalimu wanajamii wenzangu,huu usemi ni wa kweli kabisa"Njia kuu yako ni mchepuko wa mwenzio"mwenzenu pasaka haitokuwa nzuri kwangu,nimegundua usaliti unaofanywa na mume wangu,imagine nimedumu njia kuu tangu tufunge ndoa like eleven years ago,nilimuamini saaaana,ni naamini ktk njia kuu,japo sasa nimekata tamaa,yaani maumivu bado nayasikilizia ni makali asikuambie mtu,uaminifu ktk ndoa ni jambo la msingi,unapokuwa mwaminifu ni kwamba umamkubali mwenzio kama alivyo!dah kinyume na hapo ni maumivu na uchungu usiomithilika.nimekuta ushahidi wa kutosha japo sijamfumania,na amekupa mdogo ,am confused!unaweza kujiaminisha uko njia kuu kuombe unachepukiwa na mwenzio.yaani tumbo la moto flani hivi ,kichwa chama ghafla ooh Lord have mercy on me.Pasaka njema nikumbukeni ktk maombi,make sitaweza kwenda kanisani nimejeruhiwa sana,sijui nimfanyaje.asante
Hongera kwa kuwa mwaminifu!
Ombi langu kwako ewe mke bora ongea naye na umwambie jinsi ulivyoumia na jinsi ulivyokuwa mwaminifu kwake na umuulize je we nawe ukilipiza atajisikiaje?
 
Pole mpenzi ndoa zina changamoto zake,hivyo jipe moyo,asilimia kubwa ya wanaume wanapenda michepuko,Mungu atunusuru.endelea kuwa muaminfu.

Sio wanaume woote hupenda Michepuko.. Ila sisi wanaume 70% huwa hatupendi kuwakumbusha majukumu yenu kwa Waume zenu.. Jichunguze je ufanisi wako ktj mapenzi ulishuka ? Je ulianzaje kuchunguza nyendo za mumeo? Na alipogundua unamfuatilia alisemaje? Je yeye alishawahi kukuchunguza?
Nauliza hivyo kwakua cc wanaume tunajiamini sana ila hatupendi kufuatiliwa.. Na endapo mwanaume atagundua kua anafuatiliwa ,hujisikia vbaya sana.. Na hapo ndipo mtifuano huanza ndani ya familia..
Jambo la msingi ni kumuamini Mumeo na usisikilize ya watu wa pembeni kwani masuala ya Ndoa humalizwa na Walio ndani ya Ndoa ,jitahidi sana kusuluhisha wewe Mama kwani Mama ndiye mlezi wa Nyumba!!
 
Kila nikiwazana siku zombie atanipiga chepuo, napata tumbo la kuraha

Eee Mwenyezi tujalie

Kuna service road kabambe kimara ila tatizo ni ina mahandaki.

hahaha pole mwaya, ila usiache kwenda kanisani labda majeraha yako yatapona. MUOMBEE MUMEO.wangu namuombea na hajawahi kuchepuka mwaka wa 15 huu.

cc Kongosho, snowhite
 
Eehh!!! Yote haya kisa m b o o moja tu? Yenyewe hata haifiki robo kilo?

Mme wa mtu sumu.....hapo tunamalizana kimjinimjini.


1. TAFUTA ACID ( sh. 50000)...mmwagie huyo mchepuko. Ni pm kama utahitaji.

2. TAfuta bastora...sh.laki moja na nusu...ikiwa na risasi..sh. 200000. Ni pm kama utahitaji.

3. Tafuta washkaji wamteke huyo mwizi wako....kisha wampigie kwa tigo mpaka ashindwe kutembea. Kwa hapa Dar sh. 400000 tu..usafiri wako.

Kwa mikoani sh. 700000. Usafiri na malazi ya siku mbili juu yako. Ni pm kama utahitaji huduma hii.


4. Chukua picha ya mchepuko peleka kwa Mganga wa jadi. Chagua..awe zombi au afe. Mi naweza kukusaidia mtaalamu wa ukweli kabisa. Kitu kinafanyika dakika 0 na majibu yanaonekana ndani ya dakika 5. Unamtumia njiwa mpaka anapoishi....unaua familia nzima...yeye, mmewe na wanawe...mpaka house gero.


5. Mme wa Mtu sumu.......chukua sumu...ongea na jamaa wa sehemu ambao anapendelea kula chakula au kunywa bia.


Daa...ni pm....mbona swala simple tu.
 
Pole bibie,ila mimi nikukumbushe tu kuwa hatubaki njia kuu ili kuridhisha wenzi wetu au sababu tunaamini wenzi wetu pia wapo njia kuu,bali tunabaki njia kuu sababu ni jambo la msingi kiroho na kimwili kukifanya

Mungu atakupigania,muombe Mungu ambasilishe na ajifunze kwa alichofanya

Well said mkuu...

Mtoa mada endelea kumuomba Mungu amrudishe katika njia kuu. Mungu wetu ni Mwema hakika atatenda jambo katika hilo.... Usidanganywe kulipiza kuwa na michepuka hakika utaikimbia ndoa!!!
 
Price12 huo sasa ndo muda wa kusimama imara for this hard time ulikosea kumuamini 100% The theory ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO inge bi applied tangu mwanzo labda leo usingekua katika hayo maumivu!!!!
 
Alifanya nini? Kwani unaonekana unalalamika kihisia tu, endelea kumwamini, zidisha upendo, na ubunifu pia.
 
Back
Top Bottom