god with us
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 391
- 100
Nawasalimu wanajamii
wenzangu,huu usemi ni wa kweli kabisa"Njia kuu yako ni mchepuko wa
mwenzio"mwenzenu pasaka haitokuwa nzuri kwangu,nimegundua usaliti
unaofanywa na mume wangu,imagine nimedumu njia kuu tangu tufunge ndoa
like eleven years ago,nilimuamini saaaana,ni naamini ktk njia kuu,japo
sasa nimekata tamaa,yaani maumivu bado nayasikilizia ni makali
asikuambie mtu,uaminifu ktk ndoa ni jambo la msingi,unapokuwa mwaminifu
ni kwamba umamkubali mwenzio kama alivyo!dah kinyume na hapo ni maumivu
na uchungu usiomithilika.nimekuta ushahidi wa kutosha japo
sijamfumania,na amekupa mdogo ,am confused!unaweza kujiaminisha uko njia
kuu kuombe unachepukiwa na mwenzio.yaani tumbo la moto flani hivi
,kichwa chama ghafla ooh Lord have mercy on me.Pasaka njema nikumbukeni
ktk maombi,make sitaweza kwenda kanisani nimejeruhiwa sana,sijui
nimfanyaje.asante
Nawasalimu wanajamii wenzangu,huu usemi ni wa kweli kabisa"Njia kuu yako ni mchepuko wa mwenzio"mwenzenu pasaka haitokuwa nzuri kwangu,nimegundua usaliti unaofanywa na mume wangu,imagine nimedumu njia kuu tangu tufunge ndoa like eleven years ago,nilimuamini saaaana,ni naamini ktk njia kuu,japo sasa nimekata tamaa,yaani maumivu bado nayasikilizia ni makali asikuambie mtu,uaminifu ktk ndoa ni jambo la msingi,unapokuwa mwaminifu ni kwamba umamkubali mwenzio kama alivyo!dah kinyume na hapo ni maumivu na uchungu usiomithilika.nimekuta ushahidi wa kutosha japo sijamfumania,na amekupa mdogo ,am confused!unaweza kujiaminisha uko njia kuu kuombe unachepukiwa na mwenzio.yaani tumbo la moto flani hivi ,kichwa chama ghafla ooh Lord have mercy on me.Pasaka njema nikumbukeni ktk maombi,make sitaweza kwenda kanisani nimejeruhiwa sana,sijui nimfanyaje.asante
mhhhhhhhhhhh hiyo softi drink ya aina gani
Yaani miaka 11 unajiamini kabisa mmeo hajatoka nje? mwanaume rijali kabisa? Poor you!!
Kwa taarifa yako alishaanza kuchepuka mwaka wa kwanza tu wa ndoa. ndivyo wanaume tulivyo. Sema kakosea step kidogo tu ndo ukamfumania baada ya miaka 11.
Hapa nisimkwaze mjukuu wangu mpendwa tian
Mkeo unamuamini?!
Hiyo ni sababu mojawapo ya msingi inayowafanya wanaume kuwa na michepuo, ujue wanawake wanakua wabunifu wa kimapenzi pindi wanapokuwa kwenye uchumba na wakisha fika kwenye ndoa yaani unaweza usiamini kile ambacho utakua unakiona eti kila siku ni kifo cha mande...badilikeni wanawake mliopo kwenye ndoatatizo ni kwamba mkiwa kwenye ndoa mnakuwa kama mko guantanamo bay.
ubunifu unakuwa zero, kila siku mwataka jinsi anavyokufa mende tu, hamjui kuboreshana aisee!
Tatizo la ubunifu ni pande zote,hata kuna baadhi ya wanaume wako zero kitandani,ukisikia ametoka nje,unamhurumia,sometimes tunakuwa waaminifu coz ni tabia yetu siyo kwamba tunaridhishwa,ni shida tu.asanteni kwa ushauriHiyo ni sababu mojawapo ya msingi inayowafanya wanaume kuwa na michepuo, ujue wanawake wanakua wabunifu wa kimapenzi pindi wanapokuwa kwenye uchumba na wakisha fika kwenye ndoa yaani unaweza usiamini kile ambacho utakua unakiona eti kila siku ni kifo cha mande...badilikeni wanawake mliopo kwenye ndoa