Hiyo poa,siyo una acha dots za kuwa traced easily, alikuja home late like saa 7,huwa sipendi shika cmu yake make sitaki pressure za bure,kutokana na mida alokuja ikabidi nistuke,ni hinge mzigo wangu,kucheki cmu naona call tangu saa 1 waliwasiliana,mara 3 wakawa wote I ucku ucku wa saa 7 wakapigian kucheki kama amefika,jina limeseviwa,nikalitracy tigo pesa,nikaingia whatsapp na face book ni kapata picha na information zake, ni kapata full information,nikamuonyesha mume mchepuko picha na kila kitu kuhusu huyo concubine,akashikwa na butwaa,si unajua inavokuwa eeh,!zaidi ya hapa intake ushahidi gani.Mtoa mada funguka vizuri acha kulialia...nini kimekupata hasa? manake hujamfumania live so ni kipi hasa? Hata mi nikitoka mchepuko nakufa fresh kwa waifu haezi kustuka.
Amina dear.nina 2kids,wanaume ni noma sanaPole sana bibie inauma sana 11 yrs?
Endelea kuwa mwaminifu Mungu ypo na anaona chozi na uchungu wako.
Jitahid kumsamehe na kuvumiliana ndo zana kuu za mwanamke ndoa zina changamoto nying
Mtimizie mahitaj yake kuwa mbunifu japo sijajua una watoto wangap na mnaishi vip au kuna tatizo gani
Kama unahis tabia kaanza now angalia tatizo ni nn kama marekebisho Fanya
Jitahid kuongea nae kwa maana hawa viumbe wamatisha magonjwa ni meng siku hizi chepuko nalo lina chepuko lake..mtandao ni mkubwa.Mungu akujalie Nguvu
Price12, simamia hapa...hatutulii kisa kuwaridhisha wandani wetu, ni kwa nafsi, afya na heshima tu binafsi.Pole bibie,ila mimi nikukumbushe tu kuwa hatubaki njia kuu ili kuridhisha wenzi wetu au sababu tunaamini wenzi wetu pia wapo njia kuu,bali tunabaki njia kuu sababu ni jambo la msingi kiroho na kimwili kukifanya
Mungu atakupigania,muombe Mungu ambasilishe na ajifunze kwa alichofanya
Hiyo poa,siyo una acha dots za kuwa traced easily, alikuja home late like saa 7,huwa sipendi shika cmu yake make sitaki pressure za bure,kutokana na mida alokuja ikabidi nistuke,ni hinge mzigo wangu,kucheki cmu naona call tangu saa 1 waliwasiliana,mara 3 wakawa wote I ucku ucku wa saa 7 wakapigian kucheki kama amefika,jina limeseviwa,nikalitracy tigo pesa,nikaingia whatsapp na face book ni kapata picha na information zake, ni kapata full information,nikamuonyesha mume mchepuko picha na kila kitu kuhusu huyo concubine,akashikwa na butwaa,si unajua inavokuwa eeh,!zaidi ya hapa intake ushahidi gani.
Mwanaume Hana shukrani,Hana zuri,Mara ngapi wanakuwa dhaifu lakini tunawasitiri,tunachukuliana nao!inawezekana hata kutoka nje wao ndio wako poor in bed!thanx pia
Mmmmmmmmh! At times like these LIFE BECOMES REALLY A BITCH! 11 years aint a joke! ONLY I GOD WE TRUST BUT IN HUMANS FURTHER INVESTIGATIONS ARE MORE THAN NECESSARY!
But you are still one lucky sister looking on the bright side you enjoyed STRES FREE MARRIAGE FOR 11 YEARS! That is somethin to be proud of.
Hivi unajua nakutafuta sana? Hebu twenzetu PM nikakuambie kitu.
Pole sana dadaangu.
#Labda nikuulize maswali yafuatayo:-
1. Huo mchepuko tabia yake ipoje?..umetulia?..
2.Mumeo anatabia ya kutumia kondom?
3. Imekuaje mpaka ukajua mmeo anakusaliti?...is it ilifikia mpaka rafiki zako wanafahamu hilo?
4. Vipi kama ukikuta umepata maambukizi ya ukimwi ili hali ulikua hutoki nje na mumeo ndio kakuletea....utafanyaje?
Kuna wanaumme wanachepuka na wanakua makini sana kwa afya zao. Hutumia kondom na hufanya mambo kisiri sana. Waweza kusafiri let say kutoka hapa Dar mpaka morogoro na kufanya uchafu na kugeuza.
Wengine ni wale wenye dharau...hawajali....wahajiheshimu...mara nyingi wanajifanya wema sana....waaminifu...utakuta muda mwingi anawahi nyumbani....wanajiganyaga hawanywi pombe eti....au kunyea pombe nyumbani. Hawa hajali afya zao kabsaaaa......ndio wanaotembea na mahausigel...watoto wa ndugu zao....mabaa medi...wanawake wanaojiuza, watoto wa shule, wake za watu, wamama wenye mimba na hata waliona watoto. Kuwa na mwanamme kwenye kundi hili ni sawa na kuonja sumu kali ukitazamia utapona.
Ushauri wangu:
1. MUNGU ndio kila kitu. Zipo ndoa zimepitia majaribu mengi na sasa zipo nzuri sana. Mumeo anahofu na Mungu????...mmmmh lakini wa namna hiyo hawanaga hofu.....hivyo akaombewe kwanza.
2. Kama mnawatoto....tafiteni kila muwezalo muweze kumaliza swala hili. Na kama huo mchepuko upo...kaeni na wazee kwa pamoja myamalize.
3. Kama hamna watoto...hiyo ni shida kubwa sana. Huyo mwanamme hafai. Yawezwkana ni stress za kutokua na mtoto ndio maana anarisk maisha yake kwa wanawake nje. Kiufupi hiyo sio ndoa.
4. Nendeni SCOAN mkaombewe.
Nipm nikupe ushauri zaidi
Amina dear.nina 2kids,wanaume ni noma sana