Njia kuu utata mtupu!

Njia kuu utata mtupu!

Kitabu kinauzwa
 

Attachments

  • 1397806530503.jpg
    1397806530503.jpg
    49.6 KB · Views: 107
Mme wa mtu sumu.....hapo tunamalizana kimjinimjini.


1. TAFUTA ACID ( sh. 50000)...mmwagie huyo mchepuko. Ni pm kama utahitaji.

2. TAfuta bastora...sh.laki moja na nusu...ikiwa na risasi..sh. 200000. Ni pm kama utahitaji.

3. Tafuta washkaji wamteke huyo mwizi wako....kisha wampigie kwa tigo mpaka ashindwe kutembea. Kwa hapa Dar sh. 400000 tu..usafiri wako.

Kwa mikoani sh. 700000. Usafiri na malazi ya siku mbili juu yako. Ni pm kama utahitaji huduma hii.


4. Chukua picha ya mchepuko peleka kwa Mganga wa jadi. Chagua..awe zombi au afe. Mi naweza kukusaidia mtaalamu wa ukweli kabisa. Kitu kinafanyika dakika 0 na majibu yanaonekana ndani ya dakika 5. Unamtumia njiwa mpaka anapoishi....unaua familia nzima...yeye, mmewe na wanawe...mpaka house gero.


5. Mme wa Mtu sumu.......chukua sumu...ongea na jamaa wa sehemu ambao anapendelea kula chakula au kunywa bia.


Daa...ni pm....mbona swala simple tu.
 
Pole sana Price12 mama sana,halafu wao wenyewe wanajisifu kabisa eti kwa mwanaume ni necha,necha gani?kama ingekuwa necha nadhani wanawake wote waliosalitiwa na waume zao kamwe wasingeumia kwani wao pia necha ingewaambia kuwa wanaume ni necha yao kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja na kwa hiyo wangechukulia poa tu,ila kwa kuwa sio necha ni tabia mbovu yu waliyojiwekea wanaume basi ndo maana mwanmke akisalitiwa an mume/mpenzi/mchumba wanaumia sana na hata hao wanaojisifia eti necha leo hii akikuta kidume mwenzie anaenjoy na mkewe anaumia kuliko maelezo,sasa sijui wenyewe ndo wana moyo na hisia halafu wanawake wana mawe?

pole sana mama

copy Mashaxizo.

Hey! Blue G!
Take it easy! I think ulinifasiri vibaya! Sikuhalalisha michepuko kwa me! Na hata hayo mamlaka ya kuhalalisha sina! What i have tried to tell ni main reason ya kuchepuka kwa me!
...
Nilichokiongea nahisi kimewamisslead ke wengi, nahisi kuna haja ya kuwaondelea wasiwasi kuhusu ile thired!
Nikipata mda nitafanya hivyo!
...
Uwe na siku njema Blue G!
 
Last edited by a moderator:
Mme wa mtu sumu.....hapo tunamalizana kimjinimjini.


1. TAFUTA ACID ( sh. 50000)...mmwagie huyo mchepuko. Ni pm kama utahitaji.

2. TAfuta bastora...sh.laki moja na nusu...ikiwa na risasi..sh. 200000. Ni pm kama utahitaji.

3. Tafuta washkaji wamteke huyo mwizi wako....kisha wampigie kwa tigo mpaka ashindwe kutembea. Kwa hapa Dar sh. 400000 tu..usafiri wako.

Kwa mikoani sh. 700000. Usafiri na malazi ya siku mbili juu yako. Ni pm kama utahitaji huduma hii.


4. Chukua picha ya mchepuko peleka kwa Mganga wa jadi. Chagua..awe zombi au afe. Mi naweza kukusaidia mtaalamu wa ukweli kabisa. Kitu kinafanyika dakika 0 na majibu yanaonekana ndani ya dakika 5. Unamtumia njiwa mpaka anapoishi....unaua familia nzima...yeye, mmewe na wanawe...mpaka house gero.


5. Mme wa Mtu sumu.......chukua sumu...ongea na jamaa wa sehemu ambao anapendelea kula chakula au kunywa bia.


Daa...ni pm....mbona swala simple tu.

Asante ndg,zaidi yA kumompiga mkwara sitafanya chochote,nitagombana na wangapi?kisasi ni kazi ya Mungu.malipo mbona ni humuhumu tu.
 
Kweli my dear wanadhani tuna mioyo ya jiwe, yakiwakuta huwa wanakuwa kama wamenyeshewa vile.ila wajue what goes around comes arround!asante mpenzi
 
Asante mpondamali nimekuelewa.nishamwakia kawa mdogo,nimemnyang'anya funguo za gari
 
Cyan6 he is myn unajua eeh ni jukumu langu ukumbuke napoona dalili za hatari lazima nisome alert,kwani mie nina damu ya chuma kwamba sifeel pain.nimuache tu.utangoja.saana,sifi na tai shingoni.asante pia
 
Hakuna ndoa isiyokuwa tested in its lifetime na haitakuwepo. Cha msingi kuwa na uhakika na facts kwamba mwenzio kachepuka, halafu nenda hatua nyingine zaidi, jiulize why na tafuta majibu bila kutafuta alibi. Kwa kuanzia you have to isolate your spouse from the problem(mchepuko) ndipo uanze kutafuta majibu. Kila la kheri...na pole.
 
Pole sana dadaangu.

#Labda nikuulize maswali yafuatayo:-

1. Huo mchepuko tabia yake ipoje?..umetulia?..

2.Mumeo anatabia ya kutumia kondom?

3. Imekuaje mpaka ukajua mmeo anakusaliti?...is it ilifikia mpaka rafiki zako wanafahamu hilo?


4. Vipi kama ukikuta umepata maambukizi ya ukimwi ili hali ulikua hutoki nje na mumeo ndio kakuletea....utafanyaje?


Kuna wanaumme wanachepuka na wanakua makini sana kwa afya zao. Hutumia kondom na hufanya mambo kisiri sana. Waweza kusafiri let say kutoka hapa Dar mpaka morogoro na kufanya uchafu na kugeuza.


Wengine ni wale wenye dharau...hawajali....wahajiheshimu...mara nyingi wanajifanya wema sana....waaminifu...utakuta muda mwingi anawahi nyumbani....wanajiganyaga hawanywi pombe eti....au kunyea pombe nyumbani. Hawa hajali afya zao kabsaaaa......ndio wanaotembea na mahausigel...watoto wa ndugu zao....mabaa medi...wanawake wanaojiuza, watoto wa shule, wake za watu, wamama wenye mimba na hata waliona watoto. Kuwa na mwanamme kwenye kundi hili ni sawa na kuonja sumu kali ukitazamia utapona.



Ushauri wangu:


1. MUNGU ndio kila kitu. Zipo ndoa zimepitia majaribu mengi na sasa zipo nzuri sana. Mumeo anahofu na Mungu????...mmmmh lakini wa namna hiyo hawanaga hofu.....hivyo akaombewe kwanza.


2. Kama mnawatoto....tafiteni kila muwezalo muweze kumaliza swala hili. Na kama huo mchepuko upo...kaeni na wazee kwa pamoja myamalize.


3. Kama hamna watoto...hiyo ni shida kubwa sana. Huyo mwanamme hafai. Yawezwkana ni stress za kutokua na mtoto ndio maana anarisk maisha yake kwa wanawake nje. Kiufupi hiyo sio ndoa.


4. Nendeni SCOAN mkaombewe.



Nipm nikupe ushauri zaidi

Asante ndg Uteu, huo mchepuko cujui kivile,ila ni binti flan,huwa anatumia sasa huko inategemea si unajua tena,marafiki hawajuii.ikitokea hivo sijui itakuwaje,Mungu aniepushie,patachimbika hatari,tuna watoto 2.asante dear
 
Nawasalimu wanajamii wenzangu,huu usemi ni wa kweli kabisa"Njia kuu yako ni mchepuko wa mwenzio"mwenzenu pasaka haitokuwa nzuri kwangu,nimegundua usaliti unaofanywa na mume wangu,imagine nimedumu njia kuu tangu tufunge ndoa like eleven years ago,nilimuamini saaaana,ni naamini ktk njia kuu,japo sasa nimekata tamaa,yaani maumivu bado nayasikilizia ni makali asikuambie mtu,uaminifu ktk ndoa ni jambo la msingi,unapokuwa mwaminifu ni kwamba umamkubali mwenzio kama alivyo!dah kinyume na hapo ni maumivu na uchungu usiomithilika.nimekuta ushahidi wa kutosha japo sijamfumania,na amekupa mdogo ,am confused!unaweza kujiaminisha uko njia kuu kuombe unachepukiwa na mwenzio.yaani tumbo la moto flani hivi ,kichwa chama ghafla ooh Lord have mercy on me.Pasaka njema nikumbukeni ktk maombi,make sitaweza kwenda kanisani nimejeruhiwa sana,sijui nimfanyaje.asante

kwa mwanaume usijiaminishe kwa asilimia 100% hata siku moja! huo NDIYO ukweli mchungu ambao wanawake hamtaki kuukubali , pole nenda Kasali Mungu NA akutie NGUVU
 
Yaani miaka 11 unajiamini kabisa mmeo hajatoka nje? mwanaume rijali kabisa? Poor you!!

Kwa taarifa yako alishaanza kuchepuka mwaka wa kwanza tu wa ndoa. ndivyo wanaume tulivyo. Sema kakosea step kidogo tu ndo ukamfumania baada ya miaka 11.

Hapa nisimkwaze mjukuu wangu mpendwa tian

shikamoo babu Asprin,mie nilishakubali yote
Mie bado mdogo sitaki kufa kwa presha
 
Last edited by a moderator:
usiwaze talaka honey keep on praying,and usiwaambie watu wa karibu kama wazazi wenu,marafiki zenu,na majirani,wewe na yeye tafute suluhu,pole i can feel the pain but sitaki kuimagne mpenzi wangu atafanya hivyo ooh
 
asante ndg,zaidi ya kumompiga mkwara sitafanya chochote,nitagombana na wangapi?kisasi ni kazi ya mungu.malipo mbona ni humuhumu tu.

utamwagia acid wangapi.. Sijui kwenda kwa waganga wa kienyeji ya nini yote hayo....

Kila mtu anakushauri lake humu chuja lipi jema na lipi halifai
 
Back
Top Bottom