Njia kuu utata mtupu!

Njia kuu utata mtupu!

Kwanza tulia mwombe mungu akupe utulivu wa akili na moyo. pili usimwonyeshe jeuri kwakuwa ashajua umembamba Tatu usiiongelee hiyo mada kwa kipindi hichi mwache aumize akili kwanza nne wakati ukifika Wakati wa kuiongelea mada hii muende mbali na c muisuluishia nyumbani.mwisho ukijisikia kulia lia sanaaa hiyo itasaidia kuondoa uchungu uliopo ndani ambao ni hatari. pole sana
 
Back
Top Bottom