NI pm na uniandikie unahitaji maeneo gani usihangaike tena umefika ukitaka binafsi sawa ukitaka kampuni sawa njia yeyoye ukihitaji kiwanja nipo. Uwe tu serious kuwa wewe ni mwihitaji.
Mf. Nahitaji kikatiti uniambie na ukubwa gani na umbali kutoka barabara kuu isizidi km ngapi au mita viwanja vimepimwa na vinahati miliki ila kwa wazawa sio wote wenye hati miliki wsna hati za vijijini tu . Na useme na bei