Hebu upe ubongo wako nafasi ufikirie kwa umakini sana kitu nilichokielezea hapo mwanzo usiwe mvivu wa kufikiri zoezi hilo linawezekana kabisa kwa asilimia mia na nimekwishafanya installation kwenye hoteli zaidi ya tatu kwa hiyo kitu ninachokieleza hapa sii cha kuona wala kuambiwa mimi mwenyewe ndio mhusika.
Mtuu kitu cha kwanza ujifunze kuheshimu binadamu wenzako, secondly don't force your
Mickey Mouse arrogance down ya throats of others especially those u don't really now well, you may've
handon experience on some off the shelve electronic gadgets alright, but please remember that what counts is a
theoretical background which at the end of the day will set
U free to think in 3D 'am afraid 2 state that your illogical responce indicates a lot of things in that particular dept is still
wanting!!! - oh yes, ungekuwa walao una an
infinitesimal theory ya electronics/communication ungejuwa wasi wasi kwamba mwenzangu anacho zungumza ni njia mbadala!! On a contrary unaleta mambo yasiyo na staha hata kidogo na kuanza kudharau binadamu wenzako, as far as you are concern the
Diseq switch is a
cure all drug like
PANADOL. Umekazania diseq switch x3 unaweza kuwaeleza wana JF ni kitu gani kinaendelea/fanyika inside ya
Diseq Black Box au yatarudi yale yale ya
Off the selve.....
Labda nikukumbushe kwamba sisi humu tunatoa mawazo hatugangi njaa au kutangaza biashara au kufukuzana na wenye mahoteli kufunga nyungo. Hebu jaribu kusoma post
No.2 ya Mr PAJE jinsi anavyo wajibu wenzake, anaonekana wazi wazi huyu jamaa
kaeda shule kweli na hana traces zozote za
kutojiami lakini wewe unaonekana you are a buddle of NERVES, kwani kuna tatizo gani - nimejaribu kuangalia wenzako wanao toa majibu tofauti kidogo - unawajia juu kwa nini, huko busy unazungumzia mambo ya local channels?
Nakushauri kwa nia njema tu ujaribu kusoma kwa umakini
Ndugu PANJE anacho kisema kuhusu limitation katika kutekeleza kilicho ulizwa na mwana JF, vile vile ametoa mbinu zinazo weza kutumika kutatua tatizo lake na kusema kweli mbinu ni nyingi kwa mtu aliye somea vizuri mambo haya ya mawasiliano, yeye aliongezea kuzungumzia kuhusu DISEQ SWITCH na kazi yake kiufundi. Labda nikulize swali: Je mahali ambapo hakuna Diseq swich utafanya nini, Je limitation za Diseq ni zipi?? Je mahali ambapo Poralization ni right au reft hand circular utafanya nini?
Mwisho, swali lingine tena: Je, unataka kueleza wana JF kwamba mbinu nilizosema/fafanua humu hazifanyi kazi?? Tuseme sijuhi ninacho zungumza!! And with these probing questions I trust verily you gonna amend your behaviour - the paper seems to reduce me here - Cheers all the same.