njia hii ni mkombozi wa digital ??

njia hii ni mkombozi wa digital ??

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
5,122
Reaction score
9,223
wakuu natanguliza heshima kwenu na salam za mwaka mpya natumaini sote tu wazima wa afya..

ila tulio wengi mwaka huu wa digital unatuchachafya sana ?? mm nilikuwa na kitu ambacho kama kinawezekana kinaweza kuwa mkombozi wa mumo ule waakabwela tulio wengi juu ya huu mfumo wa digital?? maana gharama zake zimekuwa gumzo sana hapa nchini??

wazo langu hivi haiwezekani kutumia ungo 1/satelite dish 1 na receiver 1 kwa watu zaidi ya 5?? nakila 1 akawa anaweza kuona chochote akitakacho kwa wakati tofauti??

mfano ule mfumo unaofungwaga kwenye mahotel makubwa na guest kila chumba kinakuwa na tv pamoja na receiver ya dstv??

au kama inawezekana watu wakatumia ungo 1 lakini kila moja akawa na receiver yake?? ambayo mtu 1 wanamchangia receiver yake yeye ndio analipia harafu yeye anawatawanyia wenzake??

au kama inawezekana kupata mfumo wa cable?? je nini kinahitajika na ni nini? kinatakiwa kufanyika??

nazani wakubwa nimeeleweka kama kunachochote unakifaham waweza kutoa mchango wako plz.
 
tuanze hapo mwanzo. ungo mmoja na reciever moja kwa wakati mmoja huwezi kuona zaidi ya channel moja. kwa wakati husika reciever inaweza kuonesha channel moja tu. kwa mahoteli wanakuwa na multiple subscriptions ambayo inakuwa gharama nafuu ukilinganisha na subscription moja moja.
kuna kifaa kinaitwa diseq switch hichi kinauzwa si zaidi ya buku 4. kazi yake kinaunganisha nyungo /dishes hadi nne kwenda kwenye reciever moja. na channel za dish nne zote inaziweka kwenye list moja.
unaweza kufanya reciever moja ikatumika na user wingi lakini sharti user huyo master (mwenye remote) ndio mwenye uwezo wa kuchange channel.
na dish moja kuliunga na reciever nyingi hii inakuwa powa kama wote kwa muda mmoja wataangalia channel ya aina moja au zenye frequency zinaingiliana. kwa mfano itv, capital na wadogo zake. lakini mmoja akiweka tbc mwengine akiweka channel nyengine mmoja wapo atapata machenga kwani kutakuwa na interference.
kwa mfano kuepusha hili kule ulaya kila nyumba inaruhusiwa kuwa na dish moja au mawili tu makubwa. nyumba moja utakuta ina ghorofa 6. kila ghorofa familia tofauti. wanachokifanya wananunua kifaa cha kumultiplaxing hivyo kila familia inatumia ungo mmoja tu au miwili ambayo imefungwa kwenye ghorofa na kila familia ina reciever yake na inachange channel iitakayo kwenye satellite ya hotbird au astra.

kwa mfano zanzibar cable wao wanatoa channel zaidi ya 55 kwa wateja wao. lakini wana reciever ya idadi hiyo zinazofanya kazi kwa wakati mmoja. wanazifanyia multiplexing hivyo kila mteja yupo huru kuchagua akitakacho at specific time.
lakini sijui hii multiplexer inapatikana wapi hapa bongo na bei yake. labda tuwasubiri waliowahi kufanya hayo
 
Mkuu uwezekano huo wa dish moja watumiaji watano kila mmoja ana risiva yake upo na kila mmoja atabadilisha chaneli atakavyo haijalishi yuko Tbc mwingine yuko Itv
 
a58MLLn0n+f4RxyqxMFtCgAAAAAElFTkSuQmCC
 
Mkuu uwezekano huo wa dish moja watumiaji watano kila mmoja ana risiva yake upo na kila mmoja atabadilisha chaneli atakavyo haijalishi yuko Tbc mwingine yuko Itv

sasa ndio hujatoa info za kitech. how to....... inahitajika multiplexer , tutaipata wapi
 
wakuu hii shule ni nzuri sana,mm nasubiria hadi hili tifua tifua la ving'amuzi likae sawa!siwez kuibiwa na star times mchana kweupe hivi hivi!
 
Mkuu uwezekano huo wa dish moja watumiaji watano kila mmoja ana risiva yake upo na kila mmoja atabadilisha chaneli atakavyo haijalishi yuko Tbc mwingine yuko Itv

Acha uongo, alichoeleza mchangiaji wa kwanza yupo sahihi kwa 80% alichotakiwa kueleza sio mabadiliko ya TP bali ni mabadiliko ya Poralite mfano ITV na TBC wanatumia porality tofauti kati ya Verticle na Horizontal hivyo kama mnaangalia tv zenye verticle wote mtalazimika kuangalia zenye Verticle porality.
 
Wengi wanao supply kwa kutumia Cable au Mahotelini wao wanarusha kwa kutumi RF wanachokifanya wao ni kuwa na receiver nyingi ambazo wanaseti ktk frequence mbalimbali kisha mtumiaji ata autoscan Ktk tv yako ka tulivyoku ktk mfumo wa analogy ingawa kuna mfumo wakutumia receiver kwa kila mtaja hii huitaji vifaa vilivyotajwa na mchangiaji wa kwanza.
 
Acha uongo, alichoeleza mchangiaji wa kwanza yupo sahihi kwa 80% alichotakiwa kueleza sio mabadiliko ya TP bali ni mabadiliko ya Poralite mfano ITV na TBC wanatumia porality tofauti kati ya Verticle na Horizontal hivyo kama mnaangalia tv zenye verticle wote mtalazimika kuangalia zenye Verticle porality.

Usikurupuke kuniita mimi muongo ww ndio muongo kwa kutoa vimaelezo vyako ambavyo havijajitosheleza.Ninachokuambia kuna mifumo miwili ya upatikanaji wa chaneli vyumbani kwenye mahoteli
Kwa njia ya RF ambayo mteja atapata chaneli kwa kusachi kwenye tv pekee(hii njia huwa ni rahisi) na ya pili Kila Chumba kinakuwa na reciever yake na kila mteja anabadilisha atakavyo bila kumuathiri mteja aliye chumba kingine Hata ukitaka nikufingie lnb zaidi ya moja.Sasa kama unaendelea kubisha ili upate ukweli nitakusaidia sii kukurupuka kuniita mimi muongo.Usizoee kukariri mfumo mmoja.
 
mkuu ss sote ni makinda tulio telekezwa polin tukitapatapa bila kufaham ni wapi tushike au niupande upi tuelekee ili tupate kuokoka? maana tu kizan ndani ya hili pori la digital ndani yake kuna majangiri vibaka wabakaji na wakabaji bila kusahau matapeli weengi watunyemereao.hivyo msaada wako ndio ukombozi kwetu.
 
Acha uongo, alichoeleza mchangiaji wa kwanza yupo sahihi kwa 80% alichotakiwa kueleza sio mabadiliko ya TP bali ni mabadiliko ya Poralite mfano ITV na TBC wanatumia porality tofauti kati ya Verticle na Horizontal hivyo kama mnaangalia tv zenye verticle wote mtalazimika kuangalia zenye Verticle porality.

NGOJA NIKUELEKEZE ILI UELEWE
Nitakuelekeza matumizi ya dish moja kwa watumiaji wanne lililotegwa kwenye deg 64E tunapozipata chaneli za kibongo na mozambique.
Kwanza kabisa funga lnb ya njia mbili,kisha ziungie waya ambapo hizo waya kila moja iende kwenye spriter ya njia nne kila moja.Sasa hapo utakuwa umepata mawimbi ya aina mbili yaani VERTICAL na HORZONTAL kutoka kila spriter,ukiishamaliza hapo kata vipande vya urefu wa mita moja VINANE yaani vinne vya vertical na vinne vya horzontal
Hakikisha kila mtu/chumba kiwe na DISEQ SWITCH yake. Ukiishamaliza zoezi hilo anza na mtu wa kwanza/chumba(hoteli)
Chukua kipande kimoja cha waya toka kwenye spriter ya vertical kisha ifunge kwenye namba 1 kwenye DISEQ SWITCH,halafu chukua kipande kingine cha pili toka kwenye spriter ya pili kisha kifunge kwenye namba 4 kwenye diseq switch.Rudia zoezi hilo kwa waya tatu zilizosalia toka kila spriter ili uzijaze kwenye diseq switch tatu zilizobakia.Hakikisha diseq switch zote zifungwe kama ulivyofunga ile ya kwanza.Utakapomaliza zoezi hilo nenda sasa kwenye installation kwenye risiva,Intelsat 906 kwenye diseq iweke namba moja ambayo hiyo itaingiza chaneli za vertical TU!
Halafu satelite nyingine iweke kwenye diseq switch namba 4 hiyo itaingiza chaneli za horzontal tu rudia zoezi hilo hivyohivyo bila kukosea kwa risiva zote nne baada ya kumaliza washa risiva zote kila mmoja aanze kubadilisha uone kama zitagoma.
Sehemu ambayo hukuelewa uliza tena.
 
shukrani sana mkuu ngoja nifanye majaribio hapa nione itakuwaje. ingekuwa powa sana kama utanidondoshea contact zako ilininapokwama na kuhitaji maelekezo ya kina nikutafute
 
Poa pitia PM
 
NGOJA NIKUELEKEZE ILI UELEWE
Nitakuelekeza matumizi ya dish moja kwa watumiaji wanne lililotegwa kwenye deg 64E tunapozipata chaneli za kibongo na mozambique.
Kwanza kabisa funga lnb ya njia mbili,kisha ziungie waya ambapo hizo waya kila moja iende kwenye spriter ya njia nne kila moja.Sasa hapo utakuwa umepata mawimbi ya aina mbili yaani VERTICAL na HORZONTAL kutoka kila spriter,ukiishamaliza hapo kata vipande vya urefu wa mita moja VINANE yaani vinne vya vertical na vinne vya horzontal
Hakikisha kila mtu/chumba kiwe na DISEQ SWITCH yake. Ukiishamaliza zoezi hilo anza na mtu wa kwanza/chumba(hoteli)
Chukua kipande kimoja cha waya toka kwenye spriter ya vertical kisha ifunge kwenye namba 1 kwenye DISEQ SWITCH,halafu chukua kipande kingine cha pili toka kwenye spriter ya pili kisha kifunge kwenye namba 4 kwenye diseq switch.Rudia zoezi hilo kwa waya tatu zilizosalia toka kila spriter ili uzijaze kwenye diseq switch tatu zilizobakia.Hakikisha diseq switch zote zifungwe kama ulivyofunga ile ya kwanza.Utakapomaliza zoezi hilo nenda sasa kwenye installation kwenye risiva,Intelsat 906 kwenye diseq iweke namba moja ambayo hiyo itaingiza chaneli za vertical TU!
Halafu satelite nyingine iweke kwenye diseq switch namba 4 hiyo itaingiza chaneli za horzontal tu rudia zoezi hilo hivyohivyo bila kukosea kwa risiva zote nne baada ya kumaliza washa risiva zote kila mmoja aanze kubadilisha uone kama zitagoma.
Sehemu ambayo hukuelewa uliza tena.
Hapo mkuu umeongea vizuri,nadhani jaribu umwelekeza njia nyingine ya kutumia SINGLE SOLUTION LNB,pia inafaa kama wanadishi moja.
 
sasa ndio hujatoa info za kitech. how to....... inahitajika multiplexer , tutaipata wapi

Hii hii itawezekana kivipi mkuu, unless ITV,TBC etc wote wahamue kutuma wawimbi kwenye Geostationary satellite moja huko angani (i.e hiko kweye slot ambayo EL/AZ hiko sawa) Satellite hiyo inapaswa kuwa na uwezo wa kupokea channels nyingi kutoka aridhini ambazo zinaboreshwa na satellite yenyewe kwa kuwa hiko active siyo passive, alafu mawimbi/channels zinatumwa tena hapa duniani kwa kutumia transponder ya satellite ambayo ina footprint kwenye eneo la Africa Mashariki - which means hata huko juu kwenye Satellite wanatumia mbinu hizo hizo za ku-multiplex channels.
 
kwani hii kitu siku hizi hamna tena ? hii Intelsat 906 at 64.2°E - LyngSat
 
Back
Top Bottom