Njia gani hutumika kudukua mawasiliano ya simu?

hacking ipo ya njia nyingi sana , tools kali kwa ajili ya hacking ni '''kali linux; unaweza hakiwa kupitia email ,WiFi, au kupitia tsaap
yaani inavyofanyika inatengenezwa link afu unatumiwa ,, kwa njia tajwa apo juu , link inaweza kuwa picha ,file,audio etc...

ukifanikisha kusave tu umekwisha , hizo ni baadhi ya hackiing ndogo na za fasta kweny ulimwengu wa hacking,,,

hizo za kilink whats app web na app sio hacking hizo,, kwanza unatakiwa ujuwe ume hackiwa kivipi ndo u solve tatzo lako,
Nisaidie hiyo. Hiyo ni paid for au ni for free?
 
Wewe utakua ulipewa/tumiwa some sort of link, ilivyoibonyeza tu ndo wakafanya yao.
Kuna mechanisim nyingi za mtu kuku social engineer hasa anaezijua tabia zako.
 
Nisaidie hiyo. Hiyo ni paid for au ni for free?
Ni kisa kisheria

Pia nikiamua kuvunja Sheria lazima nifany kazi na mtu aliyekaribu,iwe rahisi kushare hizo link ,

Nawez kktumia link afu ukadown load mm ndo nikawa nimeku hack wwe???
 
Text za WhatsApp hata TCRA wala network provider wako hawazioni. SMS za kawaida ndio zinazoenekana kule. Kma ana mtu huko ndio anaweza akawa anamuonesha. Lakini hilo ni kosa kisheria. Hawaruhisiwi kuangalia msg za watu bila warranty kutoka kwa polisi
Kuna tofauti kati yakuziona nakua na kibali ila just jua tu text zote za whatsapp zinaonekana na kampuni yako ya simu unayotumia as long kuna namba yako ya simu mkuu hayo mambo tunaongea kuelimishana ila jua tu ukitaka kua safe stay offline ila hao watsapp wenyewe wanatoa tu tangazo kua text zetu ziko encryptd ila wao ndio wanasave chats zetu kwenye server zao chengine kwakumalizia tu wanasema hakuna cloud server is just somebody else computer
 
hacking ipo ya njia nyingi sana , tools kali kwa ajili ya hacking ni '''kali linux; unaweza hakiwa kupitia email ,WiFi, au kupitia tsaap
yaani inavyofanyika inatengenezwa link afu unatumiwa ,, kwa njia tajwa apo juu , link inaweza kuwa picha ,file,audio etc...

ukifanikisha kusave tu umekwisha , hizo ni baadhi ya hackiing ndogo na za fasta kweny ulimwengu wa hacking,,,

hizo za kilink whats app web na app sio hacking hizo,, kwanza unatakiwa ujuwe ume hackiwa kivipi ndo u solve tatzo lako,
Kali linux nifanyeje kuyajua haya zaidi ndugu Quavohucho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom