Njelu Kasaka ajiunga na CHADEMA

Duh...kama wazee hawa wanakikimbia chama cha majambazi nashangaa vijana wenye nguvu zao wanasubiri nini.....

Hao vijana si ndio wanaotumika kufanya huo ujambazi

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Njelu Kasaka nilimkubari wakati ule wa kundi la G55 kudai Serikali ya Tanganyika.

All in all UKAWA ni sawa na Safina ya Nuhu!
 
hicho kichwa nakifaham vizur bungeni kilikua kkiruka sarakasi ukikizingua,kamuulze NYERERE,heb tukipe ubunge kikaungane na kina Lisu
 
Kasaka agombee urais kupitia Ukawa. anafaa sana
 
Ukombozi umeshafika, watanzania kuweni tayari wa mabadiliko kwa mara ya kwanza tangu uhuru wa taifa.

Kwa hisani ya JF, wajue wabunge 55 wa kundi lililodai Tanganyika mwaka 1993.

Wabunge 55 waliofahamika kama G55, wakiongozwa na mtoa hoja, Njelu Kasaka, waliiunga mkono hoja hiyo. Baadaye wakaongezeka wengine kumi na kuifanya idadi yao kuwa 65 hadi kufikia Julai 22, 1994.

Wabunge wengine waliounga mkono na majimbo yao ya wakati huo yakiwa kwenye mabano ni;
Mateo Tluway Qaresi (Babati),
Jenerali Twaha Khalfani Ulimwengu (Taifa/Jumuiya ya Vijana),
Mbwete Polile Hombee (Mbeya Vijijini),
marehemu John Byeitima (Karagwe),
Chediel Yohane Mgonja (same),
Japhet Sichona (Mbozi),
Benedict Losurutia (Kiteto ),
Dk. Mganga Kipuyo (Arumeru Magharibi),
Stanley Kinuno (Nyang’hwale),
Dk. Aaron Chiduo (Gairo),
Edward Oyombe Ayila (Rorya)
Shashu Lugeye (Solwa).


Wengine walikuwa ni
John Mwanga (Moshi Mjini),
Dk. Deogratius Mwita (Serengeti),
Abel Mwanga (Musoma Mjini),
Juma Jamaldin Akukweti (Tunduru),
Patrick Silvanus Qorro (Karatu),
Steven Mwaduma (Iringa Mashariki),
Dk. Ndembwela Ngunangwa (Njombe Kusini),
Richard Koillah (Ngorongoro),
Ahmed A. Mpakani (Iringa Magharibi),
Paschal K. Mabiti (Mwanza),
Luteni Lepilal Ole Moloimet (Monduli),
Lumuli Alipipi Kasyupa (Kyela),
Profesa Aaron Masawe (Hai)
Arcado Ntagazwa (Kibondo).


Katika kundi hilo walikuwemo pia
Phineas Nnko (Arumeru Mashariki),
Paschal Degera (Kondoa Kusini),
Mussa Nkhangaa (Singida Mjini),
Halimenshi Kahema Mayonga (Kigoma Kaskazini),
Said Abdallah Nakuwa (Lindi Mjini), na
Mosi Tambwe (Taifa/Wanawake).



 
Safina Itang'oa Nanga Sio Mda Mrefu, Kwahiyo Walioko Nje Ya Safina Na Niwasafili Waingie Kabla Mlango Haujafungwa.
 

Yes, welcome, the captain of precious 'Tanganyika' [1983/4]...Njelu Kassaka, kamata vijana wako, ongoza wao kuelekea nchi yao, taifa lao lililopotea la Tanganyika mpya!
 
Duh SSM wanabaki wao na uzao wao tu. Kwaherini Ukoo wa wenyewe
 
kitu kilichonifurahisha ni kwamba huyu ni kati ya wafia Tanganyika .
 

Hapana ni somebody Mwambigija,mwenyekitiwa cdm huko Mbeya huwa anavua gamba watu balaa,pia kwenye byelection yoyote ya udwani hajawahi poteza akikabidhiwa,Kasaka ndiyo yeye aliyezua hilo tafrani
 
 
Huyo mzee mpinzani toka kitambo tu, anahamahama vyama sana tu, sio mwanaccm damu, mwache arudi alikokua.
 

Huu ndio wakati wa kujiunga na Ukombozi. Baadae hatutaitaji Makapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…