Njelu Kasaka ajiunga na CHADEMA

Huyu naye,MWAKA 2005 alihamia CUF baada ya kutoswa na CCM kwenye kula za maon na hatimaye mwambalaswa kumpiku.
CUF nako akaona mauzauza tu,{hakuna uhakika wa kurudi kwenye chat\ubunge kama ilivyokuwa miaka ya 90},akakiacha na kurudiA tEnA MAGAMBANi ili aweze ku-CoMpEtE tEnA na mwambalaswa kwenye kura za maoni. MAGAMBA WakaMtosa Tena, akabaki analewalewa tu ni kama Yatima AsIyE Na Matumaini,AsIyE Na Mwelekeo, AliYepoteza dira.NI DHAHIR CCM Hawamtaki toka enzi hizo za G50 yeye {Njelu Mulugala Kasaka} Akiwa kama kiongozi wa kundi hilo la wapigania TANGANYIKA au Serkal 3.
YEye KAsaka anaamin bado nguvu anayo,uwezo anao na nia pia anayo ya kuendeleza mapambano ya KUPIGANIA TANGANYIKA au sIrKaL 3. Kaona ndan ya ccm haiwezekan, sasa anatoka nje ya ccm akaendeleze mapambano. {JAPOKUWA SUALA LA KUHAMA HAMA VYAMA, KWAKE LINATANGULIZWA KWANZA ZAID NA MASLAHI YAKE BINAFSI}

ANGALIZO: akitoswa tena ndani ya CDM lazima atarudi tena alikotoka, sababu ndiko anakupenda zaid. "SIJUI NI MAMLUKI HUYU?????
 
Safi safi safi sana njeru kasaka umeokoka
 
Haya ndio ya kukumbuka shuka wakati kumekucha, huyu Mzee angehama wakati ule wa G55 ningemkubali sana, lakini alipohongwa Unaibu Waziri akaufyata nikajua ni wale wale!

Teeeeeh,teeeeh,teeeeh,maneno ya mkosaji hayo mzee,unalooo hilooo
 

Wazo zuri sana mkuuu
 
Ndio nani huyo? Hawa wazee akili zao zimechoka
 

Tumekusoma,una lingine? Sasa yupo cdm,kuna ajabu gani?
 
Ujio wa hawa wavua gamba safi, angalizo kwa chama changu nikipendacho yani CDM wote wanao vua gamba wasigombee nyadhifa yoyote ndani ya chama. Lake zone tumeona mtu mmoja alivua gamba akavaa gwanda akapewa udiwani leo ni mwiba Ilemela so muwe makini na watu wa aina hii. Simunajua ccm walisema mbinu zao 100 wametumia 99 tu?. FREEDOM IS COMING.
 
Zzk sasa ni mutu mukubwa ya chama,act,chezeya wewe!

Zzk = zana za kilimo mbeya.! Mmawia unaufahamu hiki kiwanda? Siku hizi tunaagiza toka India,uchina na south Africa
 
Last edited by a moderator:

Matata
 
Zzk = zana za kilimo mbeya.! Mmawia unaufahamu hiki kiwanda? Siku hizi tunaagiza toka India,uchina na south Africa

Teeeh,teeeh,teeeh, mkuu enzi hizo tulikuwa tunapata matoroli ya bei nafuu na imara.
 
Last edited by a moderator:
Huyo ameanza kupigania tanganyika muda mrefu. ni mpambanaji na mzalendo wa kweli.

kwa kweli huyu ni jembe tukiwa madogo tumemsoma sana misimamo yake. kuhusu maendeleo zamani hakuwepo jinsi ya kuyaleta ni wakati wake kuyaleta sasa.
 
Huyu alikuwa CHADEMA muda mrefu sana. Hawa ni majeruhi wa CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…