Njelu Kasaka ajiunga na CHADEMA

Anahangaaika tu huyu mzee miaka ya nyuma alihama ccm akahamia cuf baadae akahama cuf akahamia ccm sasa kahama ccm kahamia cdm.
Nadhani kachanganyikiwa anajaribu kutapatapa

Ccm wooooyeeeee
 
Fanya uchunguzi Zaidi Mkuu ... Ndani ya CCM wanaonekana kuwa ni afadhali ndo Mafisadi papa na wanaonekana kuwa ni Wachafu ndo watakatifu... Wasafi hawatakiwi ndani ya CCM Mkuu ... R.I.P Sokoine, Mgimwa, Nyerere, Kolimba, Malima, Mvungi, Chachage, Shaba et al ...
Lkn hasiwe lowasa aende zake act
 
Hawa wanaohamia CDM wasipewe kwanza nafasi ya kugombea nyadhifa za juu

Wengi wao wapo kimaslahi ndio maana wanahamia kipindi cha uchaguzi kama hiki

Wafanye kwanza kazi,waende field kule wakawaamshe watu kiakili,wajitolee kwa ajili ya chama,kwani CDM haikujengwa siku moja.Wenzao wakina Zitto (kipindi hicho) wamejila sana kuitangaza CDM na kufanya watu wengi hususan vijana kuvutiwa na siasa za upinzani
 


vijana wetu fanyeni kazi tuliyowatuma ripoti kila wakati leteni.tamaa zitawapoza na sifa za kijinga,wamejiungaa! n'go nani kakwambia.
 


msaka tonge huyo,gari la manispa linapita ,
 
msaka tonge huyo,gari la manispa linapita ,

Utamjua siku yupo jengo la halmashauri ya chunya ana saini kuingia kwenye vikao vya maamuzi akiwa amevaa gwanda.
 
Imeniuma sana., ndiyo maana nikarekebisha.

Wewe vipi, limekuingia bila kukuuma? umeona sawa kabisa?

Teeeeh ,teeeeh,jitekenye mwenyewe na kujichekesha watu wanasonga kuelekea magogoni,mtajijua mwaka huu wategemezi wa lumumba.
 

Zzk sasa ni mutu mukubwa ya chama,act,chezeya wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…