Njelu Kasaka ajiunga na CHADEMA

"mturudishie CHAMA chetu" by Makongoro NYERERE
 

Makongoro amesema vibaka watuachie ccm yetu.
 

= kukiri
 
Anahangaaika tu huyu mzee miaka ya nyuma alihama ccm akahamia cuf baadae akahama cuf akahamia ccm sasa kahama ccm kahamia cdm.
Nadhani kachanganyikiwa anajaribu kutapatapa
 

huyu mzee anatabia ya kusema ukweli
 
Kama kumbukumbu yangu ipo sawa, Njelu Kasaka alishindwa kura za maoni CCM mwaka 1995, na baada ya kushindwa akahama CCM na kuhamia CUF ambako aligombea ubunge mwaka huo kwa tiketi ya CUF lakini akashindwa.


Baada ya kushindwa sikumsikia tena ndio namsikia leo, sina uhakika kama alihama tayari CUF au alibaki kuwa mwanachama mfu.
 
Si aligombea ubunge lupa kwa tiketi ya cuf?kwahiyo amehama humohumo ukawa
 
Anahangaaika tu huyu mzee miaka ya nyuma alihama ccm akahamia cuf baadae akahama cuf akahamia ccm sasa kahama ccm kahamia cdm.
Nadhani kachanganyikiwa anajaribu kutapatapa

Eti anaenda CHADEMA ya Mbowe na Wachaga, hata ubalozi wa CDM hawezi pata
 
Wengi wa waliotia nia wakikatwa majina yao watatimkia UKAWA ... soon CCM itaporomoka kama ambavyo vyama vingine vya Ukombozi vilivyoporomoka na kupotea ...

Lkn hasiwe lowasa aende zake act
 
Wariotoswa na mchujo wa uongozi wa Ccm.Sasa huyo amechujwa wapi na lini mkuu,au uelewa?

Mkuu huyo ni watoto wa juzi na hamjui mzee kasaka,amuulize pius msekwa
 

Kama alivyo mwanachama mfu wa ccm,lwaitama
 
Huwa nasoma makala zake Raia Mwema na Rai. Ni Generali Ulimwengu.. Yeye haumi maneno na ninadhani Tundu Lissu atapata Msaidizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…